jamani tuwe tuna tag Media zikiona zitaongelea hizi habari na serikali itaona itawapa watu nguvu yakufanya kama huyu jamaa 🔥🔥🔥
2026-07-29 11:22:54
4
abdulw1426 :
Usichoke Mwamba unafanya jambo ambalo hakika Mwenyenzi Mungu analipenda zaidi unakataza maovu kwa nguvu yako Wallah Kwa Allah Wewe unayo faida kubwa usichoke bro kikubwa subra na ukomavu tu na Kumuogopa Yeye Tu ALLAH
2026-07-29 07:45:00
18
meshabui :
pole ban
2026-07-29 07:22:15
4
Asha mzee :
pole sana palipo na kaziyako ndipo ilipo ajali Yako mungu akuponye amin
2026-07-29 07:41:27
9
nurath :
jmn nakuombea upone haraka operation iendelee
2026-07-29 16:32:54
2
Kabaseleh uchebeh🫶 :
pol bro🙏
2026-07-29 07:48:53
2
chimom ❤❤ :
pole sana bro utakuwa sawa usjal
2026-07-29 11:39:07
2
Wenceslaus 📌📌 :
pol sana
2026-07-29 07:21:46
2
antonia st :
ukome
2026-07-29 13:22:27
1
Rango tenge tz :
pole xan brother Allah akulinde
2026-07-29 12:15:58
2
mwamvita1 :
Pole sana kaka nini tena Mjeda Wangu
2026-07-29 12:47:37
1
ßàsĥìŕ Tz@ :
Pole mwamba kwan umepata ajali ama nini mkuu
2026-07-29 12:47:12
1
mwajuma3980332742516 :
polesana
2026-07-29 09:54:18
1
WALWA :
Pole kaka,
2026-07-29 07:34:00
1
Zahor mohd :
kk tukuchangie kk
2026-07-29 10:30:14
1
Julieth Omary :
pole mwamba mungu akuponye🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-29 07:24:28
2
Yussra :
Nilijuwa tu ila pole sana kaka
2026-07-29 07:27:47
2
hayumina :
Pole kaka mungu akuponye
2026-07-29 07:45:17
1
majaliwa :
vp tena kamanda imekuaje
2026-07-29 08:45:28
1
Katherine ❤️❣️ :
Pole brother
2026-07-29 07:31:59
1
To see more videos from user @beyminyodotz, please go to the Tikwm
homepage.