@david_comics1: #davidcomics#tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 Kwa wote waliokuwa wamemiss content za kwaya, hii ni zawadi yenu. Nimewapa mbili, sasa tunaendelea na skit. Asanteni kwa support! 🙌

david_comics
david_comics
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 29 July 2026 07:38:40 GMT
135611
3030
136
164

Music

Download

Comments

manmulei
Man Mulei :
name of the beach 🏖️🏖️🏖️
2026-08-07 06:50:15
1
david_comics1
david_comics :
MASIKINI WENZANGU NAWAOMBA MFOLLOW ACCOUNT HII ILI MADUDE YAJE KWA WINGI😂😂🙌🙌🙏🏻
2026-07-29 08:55:42
15
naomi.assa1
Naomi Assa :
mm tajir sitaki mengi
2026-08-05 08:24:25
1
getrudemwaro
getrudemwaro :
maskini pawer
2026-08-06 15:51:10
2
anishakapwela
Anisha sylivester🥰🌹 :
Ila kuna mda masikin tunazitendea haki hiz nyimbo🤣🤣🤣🤣
2026-07-29 16:12:11
13
catherinelwango
Catherine lwango :
group langu la maskini tupo wapi yani mimi nikicheza hivi nasikiya duwa yangu imefika kbs
2026-08-06 21:03:38
1
user2886555737479
Faith@ ngazi :
🤣🤣🤣🤣🤣tumefikiwa
2026-08-06 12:17:14
0
user2705597443961
moshi kabelwa :
Yani masikini tuna vipaji vya ajabu😂😂😂
2026-07-30 08:49:13
6
lydiarobi3
Lydia emma :
wah! hii imefanya nikufollow🤣🤣🤣
2026-08-02 19:07:18
1
user7011831107513
I am church girl ❤️ :
kwahiyo mm masikin🤣?
2026-07-29 08:35:30
1
mrswillison0
blackbeauty :
Me nipo kwa masikin jmn wakuu
2026-07-30 06:43:20
1
its.deborah8
it's deborah :
huyo aliyejifunga kitambaa nimempenda
2026-07-29 09:24:49
2
ivoice244
Ivoice :
😂😂😂😂😂ila mwafongo 😅😅😅aya bhan
2026-07-29 07:59:36
0
abby_onevibez_tz
abby_onevibez_tz :
humu tu🔥
2026-07-29 07:50:06
0
mosse1793
magreth😘 :
Aya bwana mbavu zangu
2026-07-29 18:11:31
1
priceymoney
pricey❤️money :
Mungu kama huyu 😁😁
2026-07-29 20:38:42
2
user3808836160676
Veroh :
sisi wa side B tunatingiza mashida zimwagike tubaki na amani ya yesu
2026-08-05 11:36:42
1
odesmanyota
Madam Manyota :
watu tupo ofisini Mwafongo na kilemba chakoo bhnaa utatuharibia kazi watu tunaonekan hatuna adabu tunacheka cheka😂😂
2026-07-29 08:23:53
1
monniemonnish
@monniemonish 🥰🥰 :
kwa ivo mm nilikua maskini🤣🤣
2026-08-07 14:27:10
0
queenkyando0
Queenie :
haya bwana mwa4ngoo
2026-08-08 07:17:47
0
jane.apoline
Jane Apoline :
nimegundua kumbe mm ni maskin😂😂
2026-08-07 18:42:56
0
user1145082626972
philis :
wacha ni wafollow🤣🤣🤣
2026-08-07 18:10:35
0
To see more videos from user @david_comics1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About