@maishamagic_bongo: Kuna cha kujifunza hapa! ✍️ Usikose kutazama #MMBAList kila Ijumaa saa 2:00 usiku ndani ya #MaishaMagicBongo Ch160 #fyp #whattowatch #tiktokviral
yan mwanaume akishajua hali ya maisha ya kwenu ni chin atakudharau kufaa😌
2026-07-29 12:30:21
259
aisha :
Kweli pesa yako ni Tamu kuliko yakisimangwa
2026-07-29 14:45:29
59
Mwakamisa :
Aunt Ezekiel ni kabila gani? nimesikia kama anataja Gwantwa...
2026-07-29 11:17:42
16
rach N :
this gals are cute🥰🥰🥰
2026-07-29 18:42:04
2
anne@@ :
umesema bibi nimejikuta nalia namumiss bibi yangu
2026-07-29 09:45:59
24
wanhoo_products :
Izo dhahabu za kuvalishwa za milioni 40 ni Kama nyingi kumbe ni kidogo
2026-07-29 12:47:10
42
Kanjagatobu :
Ila Auntie nalipenda wallahi
2026-07-29 12:27:43
22
user4610017575017 :
Dada Aunt umenichejesha sana huu lov e🥰
2026-07-29 12:40:15
1
😊🌺 :
Ila A list😂
2026-07-29 08:32:00
2
hafsa :
heeeeeeee jmn
2026-07-29 13:56:42
0
Queen devotha🌟 :
Pesa so Amani ,Amani ya moyo ni bora kuliko chochote Kile 🥰🥰🥰
2026-07-29 08:01:05
74
user12671682763067 Hosy shayo :
nawapenda san rich aunties 🥰
2026-07-29 10:27:45
8
vivienne timber :
kweli bwana ela yako tam mi nilikua nikimuuliza fulani ni nani anakusanya nguo za kuvaa siku tatu anaacha ela anaondoka🤣🤣🤣ile dharau ilinifanya nifikirie sana kutafta ela
2026-07-29 12:59:34
7
Scorsese :
Bila shaka anaezungumziwa hapo ni bwana Pemba 😁
2026-07-29 19:24:42
1
Susan mathias :
nawafurahiaga nyiee mmi🤣🤣🤣
2026-07-29 14:52:02
4
Maryam Kamau :
polee daa..wapo wanahela na amani
2026-07-29 13:11:34
4
official_rahma01 :
watu wanajua ni madhahabu mengi kumbe ni gm kama saba tyu
2026-07-29 12:29:02
3
Jackeline :
yani jinsi mulivyo 4 nawapenda sana ila munakosa mumoja wema sepetu yani weacha tukwenye mtimu yang ingekuwa imeeneya basi tu🥰🥰🥰🥰
2026-07-29 17:51:52
1
Asia indho :
Auntie 😂😂😂😂
2026-07-29 10:17:04
1
𝕱𝖑𝖆𝖛𝖎𝖆𝖓𝖆𝖍 💕 :
kitu nakupenda aunt wew sio mwongo 😘💞
2026-07-29 14:01:30
2
asya :
😂😂😂
2026-07-29 08:01:59
2
Kidoti Magreth :
ila jamani mwanaume akiwa na ela
2026-07-29 08:30:36
2
To see more videos from user @maishamagic_bongo, please go to the Tikwm
homepage.