ukiskia choose your self ndo hii the girl kaweza❤️🙌
2026-07-29 21:10:29
1
Nazmah Suleyman :
WANAWAKE SHIIKENI HIZO SIMU WALLAH,PILI KAMA MCHUMBA AKO AMEPANGA MAKE SURE UNAMAWASILIANO MAZURI NA MAJIRANI UTAJUA USIYOYAJUA
2026-07-29 15:31:11
165
Malkia wa fursa 🇹🇿 :
Mine supposed to be this year Feb ilaaa yooo🤣🤣🤣🤣
2026-07-29 10:38:19
33
Jojo swanky :
Kuna sehemu nliskia; Jua kwann mwanaume wako anakuoa
2026-07-29 11:12:20
205
KAKICHWA KARIAKOO_TZ :
six seve
2026-07-29 13:34:42
0
Queen of Sheba :
Mungu atuepushe na wanaume wa aina hiyo.
2026-07-29 11:35:40
75
Nunukamihander :
Mungu amemuandalia baraka nyingine kubwa kuliko hiyo, abarikiwe sana.... we're proud of her
2026-07-29 13:10:32
61
Elisha Malima :
Hakuna mwanaume asiye na kasoro zake. la msingi angalia mazuri au mabaya yapi yamezidi.... Kisha Fanya maamuzi....
mnaweza kujikuta mnaacha wanaume Kwa makosa ambayo ukienda Kwa mwingine utakuta Anafanya mambo hayo hayo....
2026-07-29 15:22:19
10
Lydia :
l like it
2026-07-29 14:45:27
1
Eva Masanja :
wadada tupo vizur Sasaiv safi sana😂
2026-07-29 12:51:47
67
Oraah👑 :
ko tuanze kushika simu za wachumba wetu
2026-07-29 11:02:24
30
Tina Kidoti😍♋ :
Mtu sio nyauu acheni mtu abaki kwenye ndoa yake 😅
2026-07-29 13:05:04
9
Tedykhai🦋🥹❣️ :
Ana nguvu ya kiroho uyo dada🙌🏼❤️
2026-07-29 12:43:03
27
DA MKUBWA :
Shikeni simu jmn c mnaona
2026-07-29 12:36:02
27
Double J accessories :
huwaga wanajua hatuna pa kwenda cjui looooh
2026-07-29 12:47:50
17
madame namnola :
Kujipenda nayo ni NEEMA ahsante MUNGU
2026-07-29 14:03:58
6
the mwinulla's :
nimefurahi kumbe na wewe n vidole sita kama mimi wooooow😍
2026-07-29 13:23:49
12
ZUNA Shoes :
hata mm singeolewa 🙌🙌
2026-07-29 10:56:14
8
joytine ♑️ :
nimependa ushauri wa Mama 💯👏👏
2026-07-29 08:15:41
23
G….❤️🦋 :
Hii story inataka kufanana na mahusiano yangu yalio pita aseee anajibu ivo ivo anasema kitu pekee cha kufuta makosa yangu ni kukuoa nikamwambia sina shida na ndoa maana akinioa yale machafu yote yatanikuta vzr nimelia sana almost 3 years 🙌🥹😂😂😂😂nacheka sababu sipo tena acha nitulie
2026-07-29 13:35:07
15
Siyeh Msaru :
Unavidole sita kama kwetu jmn insoles wapi
2026-07-29 12:37:16
37
Trisha Benjamin :
woow tumefanana vidole🥰🥰
2026-07-29 08:58:27
12
To see more videos from user @chica_fourteen, please go to the Tikwm
homepage.