mwanetu kazi uliyotumwa umeitenda vyema huko ndo kunaitwa kuijaza 🌍
2026-07-30 11:31:57
8
mpanda dreadskiller :
muulize meta AI apo whatsapp utanishukuru kaka
2026-07-29 15:09:19
1
Mom Rujayna26 :
na mim Bado huku nahis tayar
2026-07-29 13:18:34
6
Abely Ramson :
umetoboa nduguu
2026-07-29 16:22:34
2
its muuh❤️ :
An huyoo ndo baby wang me watoto 10 kil mtt na mam ake
2026-07-29 11:13:14
8
Nelson Robert :
fatuma na amani wasingekosakana
2026-07-29 16:27:30
1
komugisha. Sarah :
usikute hapo anaambiwa mme wa mtu ndo maana sms hajibu
2026-07-30 23:20:49
5
🦚...Jenny..🧚♀️🦁 :
weeeè watoto sita hongeraa👏👏😂
2026-07-29 18:21:15
1
m2ruki :
kijana umeweza mikonojuu🙏🙏🙏
2026-07-29 17:34:31
2
mshihiri girl😜❤💕 :
mkuu umejenga?????
2026-07-30 09:39:52
1
Mags_Mary🌴🦋 :
safi sana Jonas gomola umejua kugomola
2026-08-03 11:56:50
1
mrangi de xmart boy :
Kama utafatilia Aya Mambo kwa umakini mkubwa na kufatilia kiundani siku Hadi siku tangu zilivyoanza hizi taarifa mpaka kufikia hii leo kwa namna ilivyo pande zote mbili alafu ukasoma text yangu vizuri na kwa utulivu mkubwa Utagundua kwamba mimi sina la kusema asanteni sana
🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
2026-08-01 05:13:30
3
Lizzie michael :
eliza tupo romantic
2026-07-29 17:19:50
2
To see more videos from user @mrapson07, please go to the Tikwm
homepage.