samahan mchukua vid naomba idad ya majeruh mpaka sasa??
2026-07-29 16:35:49
26
Abdulfatah Idd :
Kuingia kwny iyo michezo bora niitwe aisha😃😃
2026-07-29 16:05:41
15
0n€ 0n|¥ ¶@n¶$t£® :
wew achah uxtuharibie mood😃
2026-07-29 16:45:11
0
kamote :
sio bongo
2026-07-29 16:53:05
0
babaako tz :
noma sana umenikumbusha mbali 🔥🔥🔥
2026-07-29 11:14:10
12
TEAM SINORAY ARUSHA :
2026-07-29 11:23:39
4
muhaya og :
suburi kwanza sijaaga nyumban narudi msijali
2026-07-29 17:37:51
3
pko.asake vargas :
apo ni congo drc 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
2026-07-29 18:31:24
1
jaymo :
sio apa bongo
2026-07-29 17:55:03
2
Dully Aziz :
naombeni kucheza na mimi
2026-07-29 18:00:32
0
TEMI HANGA MHAPA FAMILY :
bola mniite anti shaban ila uwo mchezo hataa😅😅
2026-07-29 17:50:55
0
~maloni~ :
dah! mwanangu nimemissi ni kitambo 😁
2026-07-29 16:35:04
2
Drack bree💤y :
hio inaitwa Ozalima
2026-07-29 17:03:04
1
Alex Jumanne :
😂😂wazee hii michezo imeanza lini ichini kwangu mbona hatuambiani😅😅😅
2026-07-29 15:37:46
3
salman khan :
naomba kuuliza ivi rais wa hii nchi anajua au mnajiamulia mamb
2026-07-29 16:49:09
0
Elias Mahuba :
aweeeee me wakwanza siji
2026-07-29 11:54:18
1
PONCHO🍁 :
This is igbo tradition tribe ceremony from Nigeria 🇳🇬.. sherehe hizi ufanyika kuwaenzi wale wote waliofaliki dunia kwakukatwa na mapanga pia ni nguzo yakuhashilia ulinzi nausalama kwa mizimu yao ya ki igbo
2026-07-29 12:07:10
2
IBRAAH PLUMBING Services :
apo ni chahwa dodoma kwa wagogo
2026-07-29 19:17:17
0
Naah🌹🌹🌹 :
jamani ni wapi huko ni mlete yule EX wangu
2026-07-29 19:06:38
0
jafar917 :
jumong mbn haonekan au movie iko mbion kuish
2026-07-29 19:34:14
0
mrs boss 🥰♥️ :
nashindwa kuelewa 🤣🤣
2026-07-29 19:28:33
0
To see more videos from user @camal.deen, please go to the Tikwm
homepage.