nina ushuhuda guys hamuwez amin tinder imenipa mwanaume wa maish yangu jaman na nimefut tinder yenyew nampend huyu husband to be wangu😂 nipo nae huu mwak wa pili sasa
2026-07-29 13:23:57
169
Kivunja Jr_Official :
ili usichoke kusikiliza hii stori. itabidi usome komenti mdogo mdogo ndio utaweza kusikiliza Hadi mwisho
2026-07-29 13:45:10
204
Jeniva🇰🇷🇰🇷🥰 :
weka speed 1.5 utanishukuru😂😂
2026-07-29 15:27:07
110
Double D🥰 :
@Beauty with brain 🥰👌 njoo huku kuna Tinder
2026-07-29 15:53:05
0
lovefai💜💜💜 :
🥰🥰🥰
2026-07-29 13:39:00
26
🍒 :
yeah tinder nowadays is poor
2026-07-30 06:00:26
21
ENZO QR 774 :
😂😂😂😂
2026-07-30 00:20:00
13
Tee bby❤️ :
sio ben wa msakuzi uyuuu😂
2026-07-29 11:01:21
21
DX :
nyie ndo mlikuwa mnafanya wenzenu wanashindwa kusoma na kuanza kusikiliza story zenu darasani 😄😄😂
2026-07-29 13:57:24
18
Itslidyamaleto :
Tinder wenyewe wameniban siwezi kuingia 😂 wameniban hadi imei ya simu apple ID 😂.
2026-07-31 18:02:33
5
Malick Jumbe :
maliza story basi unaongea sana bhana
2026-07-29 13:39:29
14
Kamwela Mohamedi :
naenda tinder nikapate jini langu🤣🤣 maana binadam wote wananikataaa
2026-07-30 06:14:41
13
Esha_lengesha :
mim niliambiwa na rafik yangu nikadowload..,nikapata mkomoro jamn alikua ananipenda ananijal hatareee🤣🤣..,akatak kunioa ila mm simpend jmn namzungusha
2026-07-30 16:24:50
5
Finyo :
mnacomment Tu kulike aaah😏
2026-07-29 13:36:27
6
kasanl kasanl :
mim nilidownload inaitwa be my date ila kweli watu waliopo uko ni kama mapepo
2026-07-29 12:51:30
16
steven mallya :
ambao wana tinder gonga like hapa
2026-07-30 07:02:01
5
winnerjunior397 :
moja kwa moja kwenye play store😂😂😂😂😅😅😅😅
2026-07-29 23:34:38
7
MYKThe Legend :
Nilipata kifaa cha mtoto huko Tinder hadi hao wenyewe Tinder wakanionea wivu. Number zangu zote haziruhusiwi Tinder😂😂😂
2026-07-29 23:35:51
20
Jackie Actress ♓️ :
Kama haumaliz naomba uniblock tuu dada 😂😂
2026-07-29 13:07:55
7
Miro nexus :
niko single mwaka wa sita hata mpenzi sina. nende zangu tinder mie aaa
2026-07-29 16:25:34
10
To see more videos from user @itstee2712, please go to the Tikwm
homepage.