nitumie nini kurudisha periods zangu zilipotea for months Sina mimba walai hakuna kitu sijakunywa nimekunywa oral pills, nimekunywa cloves, nimekunywa cinnamon Kila kitu nimetry nimeenda hosi sisaidiki but hazirudi aki I miss my periods😭 at least nianze kunyesha kama nyinyi woyie🥺
2026-07-29 16:44:58
0
Pinky🤪 :
Zangu zinaisha kesho sema furaha🤣🤣
2026-07-29 16:24:46
3
prisca93323nasike :
n baya 😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-07-29 15:44:50
1
chumba🦋❤️ :
unajam na kuna mwenye anatamani yake ikuje 😂😂😂😂akiambia mungu hii ni ya mwisho
2026-07-29 14:48:53
7
Veeeh M :
shinda iko wapy kwan😂😂😂😂😂😂😂
2026-07-29 17:00:41
0
Hurt❣️Less :
kwani zawadi ilikua mrija??😂
2026-07-29 15:39:14
0
Kendi Karanja :
Nasahio umepanga mechi sunday😂😂😂
2026-07-29 15:35:26
0
Cinta 💙 :
😂😂
2026-07-29 15:27:14
0
Cikumwangi :
😂😂😂
2026-07-29 15:36:32
0
To see more videos from user @cookie_tokyo, please go to the Tikwm
homepage.