@amrisali_ifx: “Hii biashara ni nzuri? Ina faida?” Hili ni swali ambalo karibu kila mfanyabiashara huulizwa, Na mara nyingi majibu yanatokana na experience ya mtu binafsi, Lakini kiuhalisia, ni ngumu sana kusema kuna biashara nzuri au biashara mbaya. Mara nyingi uzuri au ubaya wa biashara unatokana na namna ulivyoifanya, kiwango cha skills ulicho nacho na ubora wa taarifa ulizotumia kufanya maamuzi, Kama kuna watu wanafanikiwa kwenye biashara fulani halafu wewe ukafeli, usikimbilie kuhitimisha kuwa biashara ni mbaya. Jiulize kwanza, ni nini wanakifanya tofauti na wewe? Ni muda sasa jamii ibadilike, hasa jamii ya wasomi, na ielewe kwamba forex trading na biashara nyingine za online zina principles zilezile za biashara za kawaida, Ukifungua mgahawa kwa dollar 100, huwezi kutegemea kutengeneza mamilioni ndani ya wiki moja. Lakini watu wengi wanaingia forex wakiwa na dollar 100 wakitegemea kutengeneza milioni 5 ndani ya wiki moja. Hilo likishindikana, hitimisho linakuwa, “Forex ni scam.” Tatizo sio forex, Tatizo ni expectations zisizo sahihi, kukosa skills na kutotaka kufuata mchakato, Ukifanya trading blindly bila proper na structured learning, utafeli, Ukijifunza lakini usiweke bidii ya kufanya practice na kujenga experience, utafeli pia, Ni sawa na shule, kuna wanaofeli na kuna wanaofaulu na wanaofelibhawaifanyi shule kuwa mbaya, wala mwalimu kuwa mbaya. Mara nyingi tofauti ipo kwenye maandalizi, nidhamu na juhudi za mwanafunzi, Biashara pia iko hivyo, Usipofuata mchakato, biashara itakuadabisha. Na badala ya kurekebisha approach yako, utaanza kusema biashara ni scam, Mara nyingi sio biashara inayoshindwa, Ni wewe umeshindwa either kuweka mfumo au kufuata mfumo, uvivu wako, lack of research, information na kutaka pesa za haraka, Mtu asipobadili mtazamo na hizi tabia kila biashara atakayoenda atafeli na kusema ni scam, atabadili mentor na kwakua hakuna mentor wa kufanya mtu atoboe bila bidii utaita kila mtu scam, Ni lazima mitazamo ya vijana ibadilishwe, Repost and share tubadili mtazamo wa watu pamoja.
Amrisaly IFX
Region: TZ
Wednesday 29 July 2026 09:08:27 GMT
Music
Download
Comments
Alvin :
😤😤
2026-07-29 09:17:43
0
savage.hancy :
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-07-29 10:12:33
0
To see more videos from user @amrisali_ifx, please go to the Tikwm
homepage.