@kawanga18m: PRANK:MAMA HUYU ANA ROHO NGUMU SANA KAKOSA ELFU 75😭😭😭 NAOMBENI TUKAMFOLLOW NA TUMTAG @haojuetanzania_officiall Haojue Express Plus – Imara, yenye nguvu na ina matumizi madogo ya mafuta. Lita 1 = hadi km 80. Chaguo sahihi kwa biashara ya bodaboda! Tunapatikana Kibada na Mji Mwema. 📞 0753563206 PRANK:MAMA HUYU ANA ROHO NGUMU SANA KAKOSA ELFU 75😭😭😭 NAOMBENI TUKAMFOLLOW NA TUMTAG @haojuetanzania_officiall Haojue Express Plus – Imara, yenye nguvu na ina matumizi madogo ya mafuta. Lita 1 = hadi km 80. Chaguo sahihi kwa biashara ya bodaboda! Tunapatikana Kibada na Mji Mwema. 📞 0753563206
daah kumbe waombaji wengn hawana roho ya utoaji haraf wanataka kupewa huu n mtihan jmn
2026-07-29 11:29:24
87
user8033819090156 :
ukimpa pesa huyo mama mimi si shabikin yako tena
2026-07-29 09:40:52
57
koku🥰 :
mmh mpk inaumiza pole
2026-07-31 15:13:52
0
newstar🧚♀️ :
mama mwenyew anaomba alaf yupo fit hivy😁
2026-07-29 10:06:04
35
mwitamohono :
😁
Halafu yeye hapo anaomba msaada 🙌🙌🙌
2026-07-29 09:31:42
29
dadie :
hivi kwanini usitoe msaada kawaida tu challenge za nini kama unasaidia saidia tu thwawabu ni zile zile kaka
2026-07-29 13:52:28
14
Fateema💕📿🧕 :
mume wangu anazurura had katokea kwenye camera 😁ila nae nimkavu hata kumsaidia kawanga anapigwa
2026-07-29 20:34:33
12
𝔹𝕦𝕤𝕙𝕄𝕒𝕟 :
ILA WAGOGO 🤣🤣🤣
2026-07-30 17:36:55
5
Heppy Mbugi :
duuu jmn mbona mkali sana mama huyu kweli hata mm kanisikitisha sana sijampenda
2026-07-29 09:50:57
10
cecile🌹🌹 :
Sio kwa huyu mama tuu ombaomba asilimia kubwa ya watu wengi wanapenda kupewa huwa sio watowaji wana roho za ajabu saana aisee 🤔
2026-07-29 17:49:02
6
BrokenGirl🥹💔 :
ani mtu ana nguvu kabisa anaomba omba aaagh🙌🙌🙌
2026-07-30 09:39:59
7
@ G love🥰 :
Kusaidia ni moyo
kuna mwingine anapata kidogo na ypo na moyo wa kusaidia n mwngne kikubwa lkn hana moyo w kutoa,,kifupi mama yetu anaomba msaada lkn yeye s mtoaji
Mungu atupe mioyo ya kutoa jamn hata kam n kidogo
Imeumiza kiukweli
2026-07-29 09:50:04
12
M3GAN :
daa nimecheka any way watajua wenyew
2026-07-29 16:33:07
1
Fyne rene🥰 :
ila wanakupiga sana jmn😭😭
2026-07-29 09:28:44
15
miss naah :
Inamaana huyu mama Hana haki kwann umpost Kwan mtu kukusaidia ilikuw lazima
2026-07-30 06:43:55
1
Mondii boi :
mbona uyu mama sio muhitaji mzima kabisa lakin anaomba daah kwakweli hawa ndo wanafanye wenyehuitaji serius wanakosa kusaidiwa😔
2026-07-29 10:28:56
10
Officialmanka💜🔐 :
naomb nikifollow tu
2026-07-30 17:02:46
1
premier :
uy mama namchukia
2026-07-30 08:39:56
2
Nimrod❤️Mwamini :
duh
2026-07-29 12:33:31
1
user421099775068 :
lohhhhh
2026-07-29 12:05:46
1
marrykingi :
.mbona huyo mama hana shifa Gan
2026-07-29 09:39:05
4
lucie🦋 :
duuh uyu mama anaroho ngumu😁
2026-07-29 10:08:02
2
MRS MAHEER🫂😍🔐 :
Kuna watu wanaroho ngumu jamani mia200tu
2026-07-29 09:49:33
4
Bahtwi Ahmad :
naskia sio vizuri kumpiga mtu kiatu
2026-07-29 18:22:36
2
To see more videos from user @kawanga18m, please go to the Tikwm
homepage.