@softena100: kwa bidhaa za softena karibu sana clinic yetu iliyopo mwenge na airport pia tuna mawakala mikoa yote kama una changamoto ya ngozi karibu tuna bidhaa nzuri mno

Softena100
Softena100
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 29 July 2026 09:43:29 GMT
55286
5369
393
430

Music

Download

Comments

bizoboy22
bizoboy :
Mimi ata kuzalisha sitaki kama sijaji pata sitaki watoto waje wapitie maisha nilio pitia mimi
2026-07-29 18:59:46
73
mr.khalf4
mr khalf :
me naowa bhana vyakuambiwa changanya na zako 😂😂😂
2026-07-29 19:07:06
32
charlsmakukumakuk
Charls Makuku (Makuku's) :
unabinti nijalibu ilo???
2026-07-30 04:56:19
12
moralskills
moralskills :
Kweli wewe ni Mtu Dada Hongera sana kwa ushauri mzuri.
2026-07-29 17:54:34
16
mboyios
mboyios :
kuna mwanamke kanidhulum binti yangu salaam zimfikie
2026-07-30 09:49:48
6
saidimkanga26
Saidi Mkanga :
Umependeza Sana Mashallha Vipi Umeolewa Nimevutiwa Namacho Yako Mazuri Sana
2026-07-29 18:30:17
6
sharifuramadhani48
Sharifu Ramadhani :
Hayo yamenikuta sitaki hata kusikia
2026-07-29 17:47:56
7
edymoney27
official_edymoney27 :
umeongea maneno makubwa Sanaa mpaka imebidi nikufollow
2026-08-07 09:54:40
1
roma58199
roma :
Uyo ni mimi nishamaliza,na watoto wawili kilamtu na mamayake
2026-07-29 21:06:09
5
kipaji390
FAN DAXTz🇹🇿 :
mitano tena
2026-07-30 05:53:53
4
modymzurii
Modymzurii🇰🇪 :
imeisha hio 💯💯
2026-07-29 19:42:08
6
youngbo12345678910
Mr. wisdom 🕊 :
mitano tena👋😆😆
2026-07-30 05:54:33
4
goldenboyfx09
CRT WIZARD. :
ahsnte sana
2026-07-29 23:15:08
3
iammilestz
iammilestz :
Bhaaaaaaaaaasi🔥😂🙌🏾
2026-07-30 10:15:53
3
yohana.tweve60
47 Yona 🇹🇿🌴💥 :
😳😳😳 mitano.tena.
2026-07-30 08:30:49
4
husenikidava2
Huseni Kidava :
sasa dada.ushauli wako mimi kuna mchumba nipo nae hapa toka amefika ana wiki2 kuludi kwao hataki nami nimepanga chumba kimoja hali yangu mbaya sina hela nayeye kang'ang'ania kwangu. kanizidi umri miaka5 jamani nifanyeje???
2026-08-01 09:28:22
0
stevemauzo
Steve Mauzo :
WEWE DADA 🥺💋🥰💞🙏🙏🙏🙏
2026-07-30 04:51:41
3
saidi.shabani845
meek As :
Fanya unilee😂😂
2026-07-30 08:28:07
3
fascothechanse
fasco :
is not idea
2026-07-29 18:29:35
4
denisladison
Denis Ladison :
kumbe sijachelewa acha nibaki na awa w2tu
2026-07-29 21:41:32
3
triplejay68
Triple Jay :
Nakubali sna fikra yangu kabx✌🏽✌🏽❤️
2026-07-29 23:23:03
1
mohmriri
bf suma top leader :
kuna ukwel flan apa
2026-07-29 16:36:30
4
userrr01273727199138
Adam :
Jesus Christ I can’t belive what you just said subha Allah
2026-07-29 20:46:18
4
csi_203
user737337727272 :
washauri mmekua wengi mpaka mnatuchanganya😂😂😂😂
2026-07-29 21:16:03
2
user6814767260148
Mark :
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏Upo sahihi sana.
2026-07-29 11:35:36
1
To see more videos from user @softena100, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About