Walidi yuko twampenda kweli, lkn pia na wewe twakupenda
2026-07-30 11:55:12
7
official nyanza :
Nawewe pia uko kama sheikh waldi twakupenda pia♥️
2026-07-29 15:12:53
42
tiphany :
hivi unajua kwamba na wewe unapendwa sana na unakubalika????
2026-07-30 13:38:43
18
tutyjaafarydunia :
Tunakupenda pia, Shekh Othman, pamoja na mashekhe wengine pia
2026-07-29 17:14:47
14
rukiruki :
ata wewe nakupebda vile nimerudi kwenye dini mko masheikh kama 6 nawapenda sana kwa ajili ya Allah SWT mumenifunza mengi sana nashukyru Allah awabariki saaana, muishi maisha marefu sana
2026-07-29 14:59:11
21
Queen lsmael :
Allah nikipata mweza mwenye dini basi nipo tayari kuolea🥰
2026-07-30 13:39:59
1
AISHA 📿🕋💞 :
na ww tunakupenda kama shekh waldi 🥰🥰
2026-07-30 06:14:46
8
Othman Sheikh Nurein Al-Hatimy :
اللهم صلي صلاةً كاملة وسلم سلاما تاما على سيدنا محمد الذي تنحل به العقد، وتتفرج به الكرب، وتقضى به الحوائج ، وتنال به الرغائب، وحسن الخواتيم ويستسقى الغمام بوجهه الكريم وعلى آله وصحبه في كل لمحة ونفس بعدد كل معلوم لك💚💞💕
2026-07-29 13:41:34
13
user hussein maige :
mambo sii ndoo hayo sas
2026-07-29 13:34:04
5
spellasawani :
ila mi binafsi zaidi yake sijaona
2026-07-30 12:31:29
2
Adija Deo :
kweli kabisa
2026-07-30 08:57:03
1
user9248267853217 :
mungu akulinde shekhe wetu
2026-07-30 08:59:49
2
swaumuhasani0 :
Allah akuzidishie
2026-07-30 08:45:23
1
goat 😇 :
Allahuma swali swallaata kamila wa swali salaaman taama Alaa sayidna Muhammad nillathiy tanhal bihii llghuqad (iyo ghu ni aini) watanfarij bihi llqurab watukhdhwaaa bihi llhawaaij watunalu bihi llrakhaiib wahusnul lhawaatim wayustaskaa lkhamamu biwajihil lkariim waalaa alihii waashabihiii fi kuli lamuhati wanafsim bighadadi (iyo gha ni aini) kuli maghluumin (iyo gh ni aini) laka
2026-07-30 14:31:17
3
juma abdullah :
maashallah
2026-07-30 05:21:30
1
SABRAH SAYD :
MaashaAllah MaashaAllah
2026-07-30 08:35:19
1
To see more videos from user @mr_othman_tz, please go to the Tikwm
homepage.