Daktari please repeat in English. This is very educative lakini kiswahili kingumu jameni
2026-07-31 15:52:39
0
Emanuel Anthonymushi :
amen Asante 😊
2026-07-30 04:15:42
0
mr.Rover :
kansa ni pepo ishindwe kwa jina la yesu
2026-07-29 19:46:11
40
Titus :
Umeacha jambo la muhimu sana, thibiti mawazo na ondoa stress na mizigo ya mawazo na kuweka imani yako kwa Mungu
2026-07-30 04:44:04
14
Jackline Mackline :
Kansas kaa mbali na maisha yangu
2026-07-30 15:25:01
4
ADVERA STYLE AFRO :
asante mtumishi Mimi naanza Kesho Asante 🙏🏾
2026-07-30 20:51:01
2
🦋Stella🦋❣️ :
Asante doc🙏🙏
2026-07-30 06:35:34
1
user911123 :
kiswahili kigumu daktari..ifanye na English..asantie
2026-07-30 14:48:05
3
Mwanaisha :
ssante kwa kutuellimisha Mungu akubariki
2026-07-30 01:27:38
2
user6960166228249 :
sukari ni moto, wali mchele
2026-07-30 08:38:01
1
user1561474188261 :
kama mtu ako na ulcers atafunaga pia?
2026-07-31 11:44:17
0
odetha uzima :
Amina .mi nina shida ya Hepatatis B naweza funga?
2026-07-30 18:02:37
1
vaileth :
asante kufahamu
2026-07-29 18:19:11
1
j :
asanter kaka
2026-07-30 01:49:07
1
annabell outfit :
Asante kwa elimu
2026-07-29 18:55:27
0
expod :
Asante kwa mafubzo yako Dr
2026-07-30 07:50:34
0
altaf Osman Suleiman :
Mm nina cancer na nimetibiwa india na nilimuuliza daktari wangu ambae ni bingwa.. kuh sukari akaniambia kama sina kisukari basi nitumie tu kama kawaida ila nisizidishe kupitiliza akaniambia ki science hawajathibitisha kama sukari ina madhara kwa mwenye kisukari.....ila mm natumia sukari kama kawaida na nashkuru niko vizuri....
2026-07-30 03:39:02
0
luqmanah :
kwaufupi fungeni mupate afya
2026-07-30 10:21:16
3
Mr Naseery.00 :
ahsant kaka
2026-07-29 19:41:27
1
faisal :
Asante barikiwa
2026-07-29 14:28:03
2
HK :
vipi kuhusiana na kansa ya kurith
2026-07-30 06:06:23
1
Ashura Bakari :
kwakawaida binadamu unatakiwa uwe nauzito wakiasi gani
2026-07-29 20:56:57
0
user9579371939915 :
Aksanti'kaka'kwa. machauri, ubarikiwe saana
2026-07-29 21:13:08
0
To see more videos from user @drmkombozi, please go to the Tikwm
homepage.