@ndoa.na.urithi: Lakini kuna kitu ambacho wanaume wengi wanakihitaji kuliko hata chakula… Ni kutiwa moyo. Mwanaume anatoka asubuhi. Anapambana na deni. Anapambana na kodi. Anapambana na biashara. Anapambana na kazi. Anapambana ili familia isikose mahitaji. Anaporudi nyumbani akiwa amechoka… Usimkaribishe kwa malalamiko pekee. Usimkumbushe matatizo pekee. Usimfanye ajute kwa nini amerudi nyumbani. Mpe maneno yanayompa nguvu ya kuendelea kupambana kesho. Kuna wanaume wanaendelea kuvumilia maisha magumu kwa sababu tu wanajua wakifika nyumbani kuna mtu atakayewaambia: “Asante kwa juhudi zako.” Usidharau maneno hayo. Yanaweza yasiongeze fedha mfukoni… Lakini yanaongeza nguvu moyoni. Na mwanaume mwenye amani ya moyo… Hupambana zaidi kwa ajili ya familia yake. Kumbuka: Mwanamke si wa kupokea matumizi tu. Ni msaidizi. Na msaidizi wa kweli haongezi mzigo… Anapunguza mzigo. —✍🏽Ndoa na Urithi ✅ #NdoaNaUrithi #ndoa #realtalk
Mwanaume Anae mthamini mke wake nakumpenda hawez kosa kupewa heshima, lakin sasa unakuta Mwanaume kutwa kukupiga matukio na kila wakati anaona yupo sawa, ukiongea unaitwa una mdomo! Ifike mahali kila mtu apate kwa kadri anavyo toa, Mwanamke akisha pendwa anafanya vyote ila ukisha mtibua, Anaishi kwa mazoea tu🙌 Acheni kufarijiana Kuweni wanaume acheni uvulana mpate hizo huruma🥂
2026-07-31 18:06:36
0
Karibu Media :
Mimi nilichogundua Wanawake wengi huwa wanachukulia Mume kama ndo Mpinzani wake mkuu ndani ya Nyumba yaani atamuwinda kutafuta makosa yake licha ya Jitahada zinazo onyeshwa na huyo Mume, Madala ya kumfanya awe karibu naye na ajue kila hatua anayo pitia Mumewe. Wanaume tunapitia Magumu Sana Allah atufanyie Wepesi kwakweli.
2026-07-31 05:29:15
4
malodi :
ndio maana tunakufa mapema kwani ni ngumu kuwa na mke mwenyekujua ayo ee mungu wajalie wake ze2 wabadilike
2026-07-30 18:03:35
1
user4351410613606 :
Aisee umetisha sana kwakweli.
2026-07-31 15:41:58
1
TASHRIFF EXPRESS :
💯%
2026-07-31 03:07:54
1
AKD omar. :
Dear wife ukuje.
2026-07-30 09:48:10
2
$ele bobo380 Zanzibar🇯🇲 :
😪😪wanaume tunapitia mengi sn we acha tu
2026-07-30 15:16:35
1
Jchars_magogo :
Sahihi kabisa
2026-07-30 08:53:59
1
double N :
2026-07-30 16:43:44
0
Hemier Ahmed Hussein :
fact
2026-07-30 16:40:51
0
🦋Queen Aydah🦋 :
That true
2026-07-29 18:57:38
2
malodi :
sasa ni tabia za wanawake 2taongeza wangapi unaic
2026-07-31 12:33:59
0
isaack艾萨克 :
fanya ukuje uku kwa street yetu uwapee somo wenye wanasema ati "wacha nitafute mubaba mwenye akona pesa "
2026-07-31 10:18:35
0
R :
tupo sana ila usaliti huwa unavuruga akili ya mwanamke mwanamke akikujua unamsaliti hata kama umemununulia ndege ubadilika na kuona vyote ni takataka mpaka ukiwemwo na ww mwenyewe mwanaume njoo mume wangu useme mm arafu.na ww umeufanya nn moyo wangu ili wanaume wajue bado tupo wanawake wa hivi
2026-07-31 04:08:38
0
Ahmed :
😂😂Mkiwasubir wanawake kama hao Labda mwaka 2050
2026-07-31 05:47:01
1
Jacqueline :
♥️
2026-07-30 08:21:26
1
Bint Ibrah🦋🌸 :
🥰🥰🥰
2026-07-29 12:22:16
2
Mr uchebe :
🥰🥰🥰
2026-07-30 18:10:37
0
Vioo Vya Magari Tz :
💯✅
2026-07-30 09:54:12
0
Mtakabiru yasin og :
🙏
2026-07-30 12:39:29
0
Al-zawahir :
🥰🥰🥰
2026-07-30 13:21:27
0
Stany lee5 🦏 :
🥰🥰🥰
2026-07-30 09:36:21
1
To see more videos from user @ndoa.na.urithi, please go to the Tikwm
homepage.