@afyatz_womencare: Kuna wanawake wengi wanaotafuta ujauzito kwa muda mrefu, lakini hawajui kuwa baadhi ya vitu wanavyofanya baada ya tendo vinaweza kuwafanya wapunguze nafasi zao bila kujua. Baada ya tendo zingatia haya: ✅ Usioshe uke ndani mara moja, kwa sababu unaweza kuvuruga mazingira ambayo mbegu za kiume zinahitaji. ✅ Hakikisha unafanya tendo kwenye siku zako za hatari, hasa kipindi ambacho yai linatoka (ovulation). ✅ Epuka kutumia dawa au bidhaa za uke bila ushauri wa mtaalamu. ✅ Kama umejaribu kwa muda mrefu bila mafanikio, ni muhimu kutafuta sababu halisi kama changamoto za homoni, mirija ya uzazi au afya ya mwanaume. Kupata ujauzito kunahitaji kuelewa mwili wako na kuchukua hatua sahihi kwa wakati sahihi. Wewe baada ya tendo huwa unafanya nini kwanza? Unaosha mara moja au unasubiri? Andika jibu lako kwenye comment. 🌸

Afya_Tz Women care
Afya_Tz Women care
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 29 July 2026 11:29:04 GMT
55508
532
2
57

Music

Download

Comments

esterkessy403
esterkessy403 :
Leo sijaosha nimetulia tyu😂😂😂
2026-07-30 14:48:51
5
To see more videos from user @afyatz_womencare, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About