hapa ndo ulipozidi kuwachukiza wakaona umewakusudia wao
2026-07-29 19:13:43
12
Naifat Abdillah :
Allah atamfanyia wepes amuondoshee maradh 🥰🥰🥰
2026-07-29 17:58:50
11
ms…love❤️ :
kwan anumwa na nn 🥺
2026-07-29 20:58:02
1
muhsin boy :
tumuombeenidua ally ismaili anaumwa😭😭
2026-07-29 16:46:26
8
Samia Khalifa :
mungu amsaidie jmn. apone tyu
2026-07-29 18:34:52
3
popo :
allah akufnyie wepes upone
2026-07-31 17:52:15
1
leymama@#🇹🇿♥️♥️ :
nashindwa kuongea zaidi ya kumuombea tuu 🙏🙏🙏🙏
2026-07-30 15:21:28
1
mavuika brand products :
allahumma ishifiy antashafy shifaa layughadiri sakaman wallah maradhi hasadi balaa allahumma aaamin ya allah simama na huyu kijana na shinda vita vyake na mahasidi hakika ww ndio kila kitu kwake
2026-07-30 17:39:26
2
pretty cute🥀👌 :
labaatha twahur inshallah Allah atakufanyia wepes inshallah
2026-07-30 04:55:44
1
Aishaali :
Hii kasida ndo imekuponza rafiki yangu ila kwa mungu hakuna kubwa inshaallah allah atakusimamisha tena 🙏 kwani uwo ni mtihani tu na inshaallah utaushinda kwani allah hakupi usilolimudu cha msingi ni subra na ibada tu kaka 🙏
2026-07-30 15:32:47
3
Mo Na :
yaan kama alijitabir.allah tunakuomba kwa mapez yako ya dhat kwa huyu kijana yaaaaraby amjaalie afya yake irud kwa wingi wa rehma zako ya allah
2026-07-30 11:44:29
1
ngogo mwanaid :
allah akupe tahafifu upone kwa araka
2026-07-29 19:15:19
1
#ONA TZ# :
Allah akupony kak kaz zak mnzur san
2026-07-29 20:31:17
1
Hawa mohamedi :
Allah akufanyie wepes kaka yangu 🤲🙏
2026-07-29 19:14:28
1
mama hashir💜 :
اللهم رب الناس اذهب الباس اشفي انت الشافي المعافي لاشفاء الا شفاؤك شفاء لا يغادر سقما اللهم امين يارب العالمين
2026-07-29 18:29:02
4
leykar Asil beauty and fassion :
kweli hasidi hana sababu maskin kija mdg ndot zake zimesimama kwa sababu ya walimwengu😔😔allh atakuaf inshallah
2026-07-30 06:15:39
1
Samia Khalifa :
jmn mbn wanasema umekufa kaka jaman mung mjalie apone
2026-07-29 18:16:56
0
Allah ndie khakim :
Tunamuomba Allah amuwafu apate aendelee na majukumu yake LABASA TWAHUR INSHAALLAH
2026-07-29 18:42:38
1
sheeee :
jaman kaka Ismail mungu akuondeshee maradhi
2026-08-07 11:42:00
0
Halima :
Amina
2026-08-07 06:37:10
0
user9266118709269 :
hyu hasad imempata. watu wabaya jamani
2026-08-05 14:00:50
0
mamy zuu :
mung akufunyia wps amin
2026-08-05 08:20:20
0
user2298546355450 :
aminn
2026-08-04 20:08:44
0
maneno sheli 2323 :
inshaallah Amin
2026-07-29 18:10:13
0
To see more videos from user @rukia.salim019, please go to the Tikwm
homepage.