@millardayo_: Tupe mtazamo wako @frida amani @Vido vidox @Njenge TZ🇹🇿

millardayo
millardayo
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 29 July 2026 12:37:19 GMT
47231
4650
188
94

Music

Download

Comments

1st.printing
1st.printing :
Vido vidox ni kama AI cz yupo mbele ya muda na ana brainstorm sana 😂😂
2026-07-29 13:26:42
67
salha_swidiq
salha_swidiq :
bora kila mtu awe na hela zake me pia n mbishi kma frida siwez kubal jmn😂
2026-07-29 16:35:49
17
crisymonk
crisymonk :
tukitoa taarifa tatizo hamkubali tunachukua tuu😂
2026-07-29 15:30:46
4
iamjamaica_12
XII :
Vido ana akili kubwa sana
2026-07-30 11:09:01
10
taxha78
bashiru :
hakuna ist mpya Toyota waliacha kutengeneza hizo gar long time ago 🤣🤣🤣🙌
2026-07-30 06:45:19
4
simon.muhamedi
Simon Muhamedi :
Millardayo umegundua mrisi wako ni nani hata usipokuepo atasababisha ayo iendelee kusimama kama ukiwepo wewe au hadi nikuambie ni vido vidox angalia kwanza haja majivuno halafu hakurupuki kuchangia mada na amenyooka respect vido vidox unani bless sana mwanetu
2026-07-30 05:50:38
6
user10455444091436
follo :
Frida hajawah shinda Vido akitoaga point 😂. Vido🙌
2026-07-29 17:54:16
12
johnchumvi739
JORGE Spanish :
Ndo maana sitaki kuoa🤣🤣🤣
2026-08-03 22:49:47
2
neymoyo2050
Ney♥️Moyo🔹️ :
Ila sisi wanawake Kwa ubishi😂😂😂😂
2026-08-04 06:43:29
2
mr.mas42
MR.MAS :
vido AI ya amplifaya😅😅😅😅🙌🙌🙌
2026-07-29 14:42:11
5
watende.romen
Rebel Queen :
Kama yeye hakuona kama ni gari kwann aninunulie sio makosa shida kutokutoa taarifa
2026-07-29 13:00:50
3
imwaona
Waona 💚 :
vido yuko positive sana , I didn't see it that way
2026-07-29 17:26:16
4
magrethmwaitebele
[email protected] :
video video yupo sahihi bhanaa taarifa ni sahihi ila mume naye why IST me?
2026-07-30 11:41:23
0
truevibe46
Safwan_1🤏😎👀 :
Vido vidox 💯
2026-07-29 13:47:58
9
isaya.bavoti.mlel
ISAYA BAVOTI MLELA 68 :
turudishien chanel ya radio mpanda
2026-07-30 16:06:11
1
sophia.omari2
miss Last born :
Frida ana akili za kuvundika kama zangu😂😂
2026-08-12 01:41:30
1
winfridacharles85
winnie❤️ :
😀 mimi ni mkeo sio mwanao
2026-07-29 18:12:54
0
munuo7
Nuruel willfred munuo :
vid anamalizaga mzozo
2026-07-29 15:39:59
5
happynessfikiri91
happie💕🫶 :
frida tupo pa1 mpaka tuwauwe🤣🤣🤣
2026-07-29 20:35:03
6
anne.xo._
anne ᥫ᭡ :
Frida yatakushinda mwenetu🤣🤣
2026-07-29 18:15:36
3
jutineessi
Essi :
Kwa mara ya kwanza tangu nianze kuwafatilia bc Leo na comment VIDOx ni mtu anafikuri Kwa haraka mno arafu anatema cheche mno ✅✅
2026-08-03 13:21:54
1
user9300777506155
Marivan :
Hili jamaa Lina akili Sana respect Sana vido
2026-08-07 18:14:00
1
b0684385806
Barick mahembe :
mke alikosea ,ilitakiwa atoe taarifa kwa mume
2026-08-03 08:01:57
1
babatiffah07
Baba tiffah dangote🧢 :
Alikosea mana kila mmoja ana gari yake
2026-08-03 12:04:58
1
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About