doumbia ana mikimbio mizuri sana akiwa anatokea pembeni bila mpira
2026-07-29 14:46:40
77
Yohana tiger :
HaHahaaaaaaaaaa
2026-07-30 16:47:06
0
nacy :
Kuna muda ata Ahmed Ally akikaa mwenyewe akimuangalia Doumbia anacheka mwenye😂😂😂
2026-07-29 20:10:39
37
Ndege Jr. :
Ila mm Yanga ila namkubali sana Ahmed Ally
2026-07-29 14:26:30
21
nuratiyusuph :
Mayele anatua simba brook Nia a mini mim huku tuna fei Sal
2026-07-29 13:08:56
7
supperdadaz :
😂😂😂😂 vitu nnavyopenda kuskia 😂😂 💛💚💛💚💛💚 MWAKANI TENA
2026-07-29 13:30:20
18
shaureen :
Huu mwaka kila mtu atachanganyikiwa kwa mda wake
2026-07-29 18:25:44
10
Al-nufais :
is this NBC premier league?
please just weight
2026-07-29 13:22:16
0
addy victor 🦋 :
Viongoz wameamua kutupoteza kabsa akuna mchezaj apo hafai ata kujaribiwa🙆🙆🙆🙆
2026-07-29 13:27:41
3
gwilakidinilo245 :
Scouting ya simba cjui kama ina watu professional.....na hapa ndo huwa tunafel kila msimu.....usajil wa hovyo hovyo kwasababau hatuna scouting nzuri....wanaokota okota tu watu wanatuletea
2026-07-30 09:37:02
0
71GOAT 𓃵 :
2027 YANGA anapo Twaa 🏆 wataanza Kusema Tunanunua Match 😏😏
2026-07-29 15:06:39
2
Sinta kileo :
Alisema mfungaji wa NBC kwani ligi imeshaanza mbona watanzania mpo iv lakini
2026-07-29 21:38:33
1
hamisyhashimjuma :
doumbia felain
2026-07-29 15:51:06
2
khatib :
Ahmed mwenyewe anachekaa😂😂
2026-07-30 08:22:26
2
Mkupalo jr. :
first comment😂😂
2026-07-29 13:03:46
1
As a man :
bullet header huyo. sema amna tu wakupiga cross. 😁
2026-07-29 13:19:49
1
official_buu :
siku zote uvumilivu una matunda matam sana pre season sio NBC wakubwa mm ni mwana simba tumpe mda mchezaji wetu
2026-07-29 13:18:44
1
Beez26 :
😂😂 Aibu utaona wweeee,, duuuh ila Simba😂😂 ninaxhindwa kualewaaaa.....