@veriafya: Akizungumza katika Chakula cha usiku cha kilichoandaliwa na Event ya Age go, Julai 25, 2027, Dar es Salaam, Daktari Bingwa Bobezi wa Magonjwa ya Kike na Uzazi na Mkuu wa Kitengo cha Upandikizaji Mimba kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt. Matilda Michael Ngarina anaeleza kuwa kukoma kwa hedhi (Menopause) ni hatua ya kawaida katika maisha ya mwanamke, ingawa hivi sasa wanawake wengi wamekuwa wakiingia kwenye hatua hii mapema zaidi kuliko zamani. Anasisitiza kuwa madhara makubwa na ya hatari zaidi yanayotokana na kukoma kwa hedhi ni kuvunjika kwa mifupa kwa urahisi kutokana na kupungua kwa homoni ya estrogen, hatua inayoadhiri ufyonzwaji wa madini ya kalkiamu (calcium) na Vitamin D. Ili kujikinga na matatizo haya, anawashauri wanawake kuwa makini na mlo wao kwa kula mara kwa mara vyakula vyenye afya na madini ya kalkiamu kama vile mboga za majani fresh, matunda, maziwa, na supu za mifupa pamoja na kupata mwanga wa jua kwa ajili ya Vitamin D, badala ya kutegemea virutubisho vya vidonge pekee.

Veriafya
Veriafya
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 29 July 2026 13:00:07 GMT
60694
1808
58
623

Music

Download

Comments

josphine.kazilika
Josphine Kazilika :
Asante DC🙏
2026-07-30 16:34:52
1
angelablessing0
Angela Blessing :
Thank you Dr 💞💞💞💞💞💞💞💞💞
2026-07-30 09:38:39
0
user4621796608795
user4621796608795 :
asanteee
2026-07-31 04:34:29
0
1234bora1
1234bora1 :
Thanks
2026-07-30 13:57:42
0
gasper1234560
Gasper :
Dr.Ngalina,one the best Gynecologist we have in our country..endelea kutuelimisha daktari
2026-07-30 08:00:40
2
elitrudaritte
elitrudaritte :
next Dr
2026-07-30 02:31:11
0
calistomsigwa
Vasity :
Badirisheni mfumo ya vyakula , lkn pili ishini kwa makusidi ya mungu
2026-07-29 19:50:30
12
mrsshabankumalija
lay :
siamini kabisaaa hii kitu au na mm ndo yenyewe make ati hii nabisha 😂😂36
2026-07-30 00:29:43
3
carolynemungwa
Carolyne Mungwa :
mm nime vunjika mguu nina mika 50
2026-07-30 06:04:11
1
nareen598
Nasreen :
Mmm ngoja kesho nikanunue supliment za calcium na zink na vitamin c
2026-07-30 19:39:36
1
happywilliam8
Happy William :
dr wangu mungu akuweke
2026-07-30 17:20:41
1
ummluqman_002
UmmLuqman :
shukran sana Dr. Mimi imekata miaka 5 lakini sasa inakuja kidogo kidogo kila siku jee huwa Ni inasababishwa na niini?
2026-07-31 11:24:56
0
chii_and_spice
Food&Pastries Zanzibar🇹🇿 :
Pro tip: wanawake bebeni uzito gym. Ni zoezi muhimu sana kwenye afya ya mwanamke na mifup. 🙌🏾ukiwa kwenye 20s huko anza mapema kujipenda
2026-07-30 09:41:03
2
swaieric
Eric Swai :
Tunashukuru sana kwa Elimu kubwa.
2026-07-30 17:35:59
1
alice.kileo6
Alice Kileo :
Asante dr
2026-07-30 09:18:25
1
user8126245942481
user8126245942481 :
Nakuelewa sana doctor 🙏
2026-07-30 06:10:19
1
nasramohammed449
Nasra Mohammed449 :
Dr umenifanyia operation asante sana nakushukuru
2026-07-30 15:58:09
1
marynyakundi325
juakali first lady :
thanks
2026-07-30 09:49:23
0
afua.lusigi
Afua Lusigi :
Asante sana Doctor
2026-07-30 04:42:16
1
user5209181786001
user5209181786001 :
Asante doc
2026-07-30 03:14:24
1
pendopaul51
pendopaul51 :
Dr tunaomba namba tunamaswali mengi yakuuliza natukombali tunakupataje
2026-07-30 08:21:49
0
mafutajordan
Rachel :
mamaeee
2026-07-30 12:43:00
1
lucymrosso6
blessed one :
Mungu utusaidie
2026-07-30 11:34:28
1
johnkagheni161
John Kagheni. :
ubarikiwe kaa mafundisho
2026-07-31 01:45:46
0
mwanahamisimzir
mwanahamisimzira4 :
Dk nashukur kwa ushaur I sana
2026-07-30 21:34:24
0
To see more videos from user @veriafya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About