I knew this..pages mingi Sanaa apa TikTok nimikora mitupu.plus prices zake ziko chini sana..
2026-07-30 15:24:51
0
mommy :
me mtu ambae haongei ama kuingia live sinunui kwake,
2026-07-29 19:25:45
104
Aisha🦋🦋❤️ :
Na imgn wana follow hii post coz tell me why nme comment hapa wakani block 😂
2026-07-30 18:28:48
0
CHEF JUMA@Sea🛳⛴️ :
@Top wholesalers
2026-07-31 17:40:15
0
🤗mummy's gal🥰 :
ukipata account bila location usiwai trust
2026-07-30 12:14:01
14
Caroline Collection :
I wish ungeenda safaricom immediately safaricom wangerudisha
2026-07-30 19:20:04
0
SACHOMMY :
nilikuwa nasubir salary basi ninunulie mbaba wangu😂😂😂😂
2026-07-30 05:32:44
24
. :
ana 52 followers
2026-07-30 20:24:27
0
♡☆Zareeh☆♡ :
Mm nlijua tuuu😂😂Nliona na nkacomment hakuna shirt nzur kama hizi kwa 400😂😂😂Ata market wholesale hawauzi hivo😂😂🙌Haya pole dada💔
2026-07-31 14:05:36
0
Sarah :
izo bei taar nilishuku😅😅😅😅
2026-07-29 19:32:32
28
husseinmtende :
Wanunuaje nguo online n duka kwenu liko
2026-07-30 02:39:55
5
Barcelona :
kwani ulikuwa hujuwi apa TikTok kila mtu n mwizi
2026-07-30 14:57:35
5
Bradhe 17 :
huyo top wholesale hizo video sio zake anatumia video za mtu mwengine kutoka bongo pia yy ni mtu wa biashara anauza nguo anajiita MR.vikali kutoka hizo video ndio zake hata me huchukuwa vitu kupitia kwa huyo MR.vikali mpaka waga nampigia video call nikichaguwa vitu akinitumia
2026-07-29 23:10:21
5
🦋🦋Mum Aeysher🦋🦋 :
😂😂😂😂polee jmn
2026-07-31 13:10:43
0
Harris Iruki :
m nliona shirts za 1500 na 400 nkacheka tu. though mali ni safi mwenye anajua account real yenye izo video anitag
2026-07-31 15:43:35
0
Minnah :
nilitka kumchukulia mume jmni
2026-07-30 17:56:30
1
Mashasharif Sharif :
nlijua 2😂😂
2026-07-30 04:47:08
1
Priscilla Chan :
waah..I almost ordered
2026-07-30 03:59:33
1
Dave B :
Wueh! I was about to order tee shirts and was puzzled how the prices were so low for the quality I was seeing!
2026-07-30 12:14:59
3
_official_love_luck__ :
Pole dadangu kupotea njia ndio kujua njia amechukua haraka amekuachia baraka 🥰
2026-07-30 09:28:19
0
Myra collection 🛍️ :
Asante kipenzi nlikua nishasave namba yake,sema Tu nlikua namchunguza kwanza
2026-07-30 01:28:44
1
queenay👸💫 :
asante kwa kutuambia mimi nilitaka kumchukulia mume wangu,kumbe kingeniramba😅😅😅
2026-07-30 17:28:48
4
To see more videos from user @malasah51, please go to the Tikwm
homepage.