anaye nipenda ameniomba pesa 😳 Acha abaki na mapenzi yake
2026-07-30 20:08:37
11
Maggie_♈️ :
Ninaempenda hanipendi na anaenipenda me simpendi kabisa na sina hisia nae kabisa, stamani hata kumuona 🥹💔🙌🏿
2026-07-30 14:24:11
17
M.Sabina🌹🥀 :
uyo anaenipenda nae anamkewe 😢
2026-08-02 13:58:25
0
It's me🥰👌 :
jameni dada yenu nimejishusha sana.. nampenda sana ila yy hanipendi.. kwanza Leo amempost mtu wake😭😭😭😭
2026-08-01 07:05:50
5
HOME-GAZZY🦋 :
Jmn hii imenikuta jmn😳 inaumaa jmn upo na anakupenda we unaempenda unamuwaza mda woteee jmn😭😭
2026-07-31 07:29:11
9
Raany :
my situation now 😭😭
2026-07-31 10:00:11
26
Samwel Urioh :
Tatizo Anae nipenda umemuonaaa 😂😂😂😂😂
2026-07-31 21:57:39
0
💞 Mrs Mary ❤️🩹💘 :
Mbn mm siwez jamaniii 😂😩😩
2026-07-30 06:45:10
7
sarahedward387 :
mimi kuna mtu nilikuwa simpendi vibaya mno ila sasaivi nampenda sana jamani.alafu ni mme wa mtu na nilisha mwambia tuachane ila yeye hataki nifanyaje??nikimwambia tuachane analewa anakuja nyumbani usiku wa manane kufanya fujo nishaurini nifanyaje??
2026-07-30 21:51:59
0
Estar🦋🦋 :
dah labd co kwa huu moyo wangu naoujua🤣
2026-07-31 13:58:03
3
Alice :
uwiii nilipotoka na sasa afathali jmni sitaki tena mapenzi hata kuyasikia sina hisia toka,mwezi wa 4 😂😂😭
2026-08-01 14:56:29
3
DIT GANG :
Sijui kwanini kila nikilala na mwanamke anapata kazi🥹
2026-08-02 08:03:35
1
🦋❤️ZOUH❤️🦋 :
Nakumbuka mwaka 2016 niliitwa na bibi yangu kijijini Kazulamimba aliniambia mambo mengi sana ila maneno ninayoyakumbuka hadi leo aliniambia "mjukuu wangu ipo siku moja watu wengi watapoteza mda wao kusoma comment yako"😁😎
2026-07-30 10:19:56
3
To see more videos from user @vintage_girl010, please go to the Tikwm
homepage.