@kkktboko: #congolaise🇨🇩 #kenyantiktok🇰🇪 #praise #gospel #worship #ugandatiktok🇺🇬 #nigeriantiktok🇳🇬 #rwandatiktok🇷🇼 #fyp #worldcup2026

lutheranboko
lutheranboko
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 29 July 2026 13:30:45 GMT
27642
1567
43
41

Music

Download

Comments

lazarusfrancis4
LFM. QUALITY SHOES :
kkkt. ninzuri jamn kunajins inabadilisha ukiingia kkkt. laziima uokoke bila kulazimishwa na mtu
2026-07-29 20:58:56
21
sayunibange7
sayunibange966 :
mchungaji metili jaman anaimba
2026-07-30 08:39:47
10
officialkafui7
officialkafui💕 :
Hakuna kitu kinaumiza Kama huu wimbo pale mpendwa wako Ndy kalala anatakiwa kuagwa na familia Mara ya mwisho 💔
2026-07-30 07:22:45
6
anithamringo966
Anitha Mringo :
familia wanapoenda kuaga mara ya mwisho😭😭
2026-07-30 06:25:14
3
ezra71170
mipango quality shoes :
sema faza anajua bhn😂😂😂
2026-07-29 21:40:52
7
sidaburiukiya
Martha :
Poleni sana. Mchungaji unanibariki sana
2026-07-30 01:44:46
3
jencute46
Jen cute432 :
Mungu naomba utulixe moyo wangu usiwe na majonzi 🙏🙏
2026-07-30 05:46:38
4
janaida_gal
Janaida💫 :
wimbo wangu pendwa Kila wakati 🥰🥰🥰 Mungu akawe tulizo kwa wote.
2026-07-30 06:04:26
2
user3017131547055
herieth george :
mungu amlaze mahala pema peponi
2026-07-29 13:37:54
1
lenganjisinyangw2
lenganjisinyangw2 :
barikiwa
2026-07-30 10:40:08
0
electrician1630
Electrician :
nimependa pastor kaimba kwa kufata note mapigo yote na mwendo na kuweka njonjo ila hajatoka nje ya mapigo
2026-07-30 08:24:30
1
agape20200
agape20200 :
hv mchungaj metili n wa usharika gan
2026-07-30 19:29:16
0
user4112606566372
user4112606566372 :
Mungu awayumze wachungaji wetu
2026-08-01 13:29:15
0
mtumejerald
mtume jr :
mung akulinde
2026-07-29 14:30:15
1
user6976134457968
papaa josee :
mbarikiwe sana watumishi wa mungu
2026-07-30 13:04:48
0
lovesallu2
lovesallu47 :
👌🙌🫡 mchungaji
2026-07-30 08:21:34
0
sarahyenda768
Sarah Yenda :
polen kazi utumishi wake utaishi hakika
2026-07-29 13:36:58
1
user4112606566372
user4112606566372 :
Mungu umlaze mahali
2026-08-01 13:26:46
0
user1958715381612
user1958715381612 :
Amen
2026-07-30 05:50:43
0
lemathedon
Lema :
2026-07-30 05:18:45
0
rachel25694
Rachel2 :
wimbo namba ngap??
2026-08-04 05:55:10
0
grace.christopher322
Grace Christopher :
Duh,Mchungaji yupo vizuri kwenye uimbaji,unaonaje uwe pia muimbaji wa Gospel
2026-08-06 09:11:38
0
super.woman000
Super woman :
ameen
2026-07-30 05:36:01
0
user56831847192426
msemo :
Ameni Amenii
2026-07-30 07:48:36
0
uiso.barikij
Toncsmation Enginearing Co Ltd :
2026-07-29 15:03:00
0
To see more videos from user @kkktboko, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About