@qiblatein_online_tv: Video Nzima ipo Youtube Ingia #QIBLATEINONLINE : Wasiliana Au Support Qiblatein Tv Kusukuma mbele Elimu kwa Umma Kupitia: +255 764 182 518 : #shortsvideo #trending #trendingreels❤️ #reelsi̇nstagram #mawaidha
Mimi kwa kufoka sijambo Mungu ampe maisha marefu mumewangu maana ni miaka 12 Sasa na kufoka kwangu 😄😄😄
2026-08-02 11:34:20
51
Marietta Josephath :
hivi kuna mtu anafoka tuu bila sababu asee siwezi
2026-08-02 15:12:53
49
Sweet love :
Mimi naongea sana jamani, ila Sina maneno machafu🤣🤣polojo, story, nitakuchekeshaaa
2026-08-02 13:22:05
23
sharifaselemani :
mashaallah uko kote Mimi sipo lakin Sina bahat ya kupata mume mwema 🙏
2026-08-02 06:33:49
24
ashybae :
maneno siachi na nishaachwa😁😁😁
2026-08-02 14:29:38
13
FAHIM :
wanaumme wengine wanasababu wabinafsi sana
2026-08-02 06:56:09
36
Aisherfaraj :
sheikh eti mwanamke hatakiwi kujua kama umepata au hujapata hapo umekosea yule ni mkeo mnaishi pamoja lazima mkeo ajue bana
2026-08-02 14:33:22
7
FelicityFra :
Hapo kwenye kutoa harufu sio kweli mtu akikupenda atahakikisha anakusaidia kupata matibabu upone… ukiona anapunguza upendo jua hakukupenda tangu mwanzo
2026-08-03 06:19:46
8
ᴍʏꜱᴛɪᴄ♏ :
hayo mengine sawa lakini apo kwa kuongea mtanisamehe sana🤣🤣🤣
2026-08-02 18:21:02
5
Goldengee🦋 :
jmn hasira nikiwa nayo🥹nafoka lkn ni hasira jmn😂
2026-08-02 16:42:40
4
Amina mkilindi :
Hata mume waaina hiyo kweli simpendi
2026-08-03 06:33:08
0
Jeyleeh❤️ :
Shekhe anajua matumizi ya bando👏
2026-08-03 07:17:50
2
Ma Nuu❤️🫶 :
SAMAHAN JE HAYO YAKIWA KWA MWANAUME TWAFANYAJE NA SISI KAMA WANAWAKE 🙏🙏
2026-08-02 06:55:46
6
sikudhani✨ :
tell us the vise versa basi 🥺 pia (aina ya wanaume.........)
2026-08-02 16:56:18
2
zora m🌹 :
😂😂😂shekhe mm mwenyew simpendi mwanaume muongeaj mchafu kila ukijitahd kumuweka sawa lazma mtagombana2 mwanaume unaongea ww na yy anaenda kuipa habari family yake ata vikiwa vya siri mm binafsi simpendi 😂😂bhuana
2026-08-02 13:48:47
8
shedy_platinumz :
Naam
2026-08-02 06:34:40
3
tunisiasanga :
mm ya kwanza io yangu
2026-08-02 11:03:35
3
Delnique♥️ :
si mnawazuia wasifanye kazi wenyewe 😅😅watapata wapi hela sasa😅😅
2026-08-02 12:57:36
1
rama'ah zanzibar :
Apo kujua umepata au hujapata ndo mimi ila nikipata nampaa
2026-08-02 12:49:53
3
chama d :
si shda kuombwa vo shda 2akisubiria watoe wenyew hawatoi
2026-08-02 08:04:38
4
rajab champion TZ🇹🇿 :
hii ya pili ndo imemfanya nesi mmoja ivi anatelekezwa kwenye ndoa bila kuambiwa tatizo lakn lkn mm niligundua sijui nimwambie
2026-08-02 08:11:25
3
Yussuf Rashid :
Ni Kweli
2026-08-02 09:25:52
2
Mr Nich🇹🇿 :
shekhe uko sahh
2026-08-02 11:51:38
2
Yussuf Rashid :
Mashaallh Mashaallh Mashaallh Mashaallh
2026-08-02 09:25:57
2
To see more videos from user @qiblatein_online_tv, please go to the Tikwm
homepage.