@jukwaa.la.maarifa: Dkt Sheikh Abdulrazak Amir Amewagusia Wanawake Wa Sasa Ambao Kwa Kiasi Kikubwa Wamekua Na Desturi Na Tabia Za Kuomba Omba Kwa Wanaume Zao Sheikh Dkt Abdulrazak Amir Amesistiza Mwanaume Yoyote Mwenye Busara Anatoa Huduma Bila Kuombwa Ombwa Wanawake Ambao Awatosheki Wakipewa Kimoja Lazima Wataomba Wapatiwe Jambo Lingine Mfano Baadhi ya Wanawake Mume Akirudi Nyumbani Jambo Kubwa Ni Kuanza Kumpatia Malalamiko Mfano Kuomba Pesa Mara Kwa Mara Na Kuomba Mambo Tofauti Tofauti Sheikh Dkt Abdulrazak Anawakumbusha Wanawake Wote Na Wanaume Wote Ambao Wapo Katika Ndoa Zao Kuhakikisha Wanatekeleza Majukumu Yao Kwa Wakati Bila Kukumbushwa Au Kuanzisha Migogoro
JUKWAA LA MAARIFA🕌
Region: TZ
Wednesday 29 July 2026 13:34:28 GMT
Music
Download
Comments
Sajda Adams :
mie siombi na wala sipewi, Allah knows best.
2026-07-30 06:49:38
5
Pretty :
wanaume wa siku hizi usipowaomba ndo imekula kwako, sisi wenyewe tunachoka wanatufubaza
2026-07-29 20:07:01
17
Aiem Helleyna 🇳🇬🇹🇿❤️ :
Wanajizima data tufanyajee 😅
2026-07-30 10:20:45
1
sabra hassan :
na ukiwa hujaomba hupewi
2026-07-30 05:27:50
4
bint_seif26 :
Kwa wanaume hawa hawa wa skuiz hizi au kuna wanaume wengine ambao unawazungumzia kuwa tusiwaombe😂😂
2026-07-30 07:45:49
2
Ummul kheyr :
hawatoi. naukiwaomba. hawatupi mm. nmechoka. na. wanaume. cwataki. cwapendi. km. cc. hatuombi. ndio. twaonewa
2026-07-30 04:23:27
4
Zama mwagara :
Atujawah kuomba shekh na hata tukiwaomba hawana
2026-07-30 11:32:13
0
Amina mkilindi :
siombi wala lakini hana anachokifanya
2026-07-30 11:25:28
0
Zeinab Adan :
mm wlh cjawahi omba lakni awezi nipa mpka nimwabiye labda kwa mwezi mbili hvi ntka kubuyer nguo
2026-07-30 11:07:18
0
good mom💝💖 :
wengine hawakupi
2026-07-30 04:52:03
1
user3493590134969 :
hawatoi shehe,kama hawala anaomba hela ya kucha mimi ni nani nisiombe naomba
2026-07-30 10:19:49
0
Santiva_Adrian🫅 :
Huombi mtu na ukiomba unanyimwa
2026-07-29 22:37:04
0
Mosi :
na kwa muda huu tulikuwa nao hawatoi shekhe
2026-07-30 09:57:20
0
Husna Waxing :
hamujui 😁
2026-07-30 09:37:54
0
Latifah4 salim :
shehe wengine awajiongezi
2026-07-30 08:47:20
0
uba :
sasa ukaombe wapi
2026-07-30 08:07:25
0
🌸Mom Nasreen🌸 :
mm nisieomb netelekezw na mtoto na nimepigw block mpak tiktok
2026-07-30 08:38:26
0
rukeiyyah :
kweli kbsaaa 👍
2026-07-29 22:43:52
0
Najma Khan :
Mtihan mwengine akupi hadi umwambie mtihan kiukweli mungu atusaidie
2026-07-30 11:35:09
0
Zuwena Zanzibar Wedding Dress :
wanaume wengi sana hawajui wajibu wao hasa kwa wake zao wa ndoa ila vimada vya njee wanamaliza kila kitu bila ata ya kuombwa
2026-07-30 05:51:19
3
glam_lida💄wedding_dress :
Huyu nae katushika wanawake weee wanawake haya tuueni
2026-07-30 05:59:51
0
razia mod :
🤣🤣🤣🤣koma wewe wanaume siwoteeeeeeeee
2026-07-30 06:08:56
2
good mom💝💖 :
naukikaa kimya ndio wanaopenda zaid halafu wanatosha kwrngine
2026-07-30 04:52:58
1
To see more videos from user @jukwaa.la.maarifa, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.