@digitalaccessoriespoint: Iphone users hii sasa ni ya Mwaka wa mbele nawapeni, kuanzia sasa washakunaku wote GOOD BYEE😂😂😂 Kwa tech tips mbalimbali follow account hii👇👇👇 @digital_accessories_point @digital_accessories_point
Mr DAP
Region: TZ
Wednesday 29 July 2026 14:13:34 GMT
Music
Download
Comments
G SANGA :
Hii super 👍👍
2026-07-29 19:20:52
2
@ Vani €€”🫶🏾🫶🏾 :
Kaka niliweka ila bado kidogo tu nilie😭 nilikosea kumbonyeza 🤣🤣🤣🤣 nilipagawa ila ni kweli inafanya kazi kaka 👍🏾👍🏾👍🏾👍🏾
2026-07-29 16:44:32
7
mama1nguchu0 :
Jamani mbona inagoma kutoka🥹
2026-07-29 19:46:18
0
Lorah 💕🩷 :
Ivi hakun tips za kujua paswed 😭
2026-07-29 16:13:02
4
Nyanda's Doughter :
Mbona imegoma kutoka jamani😭😭😭
2026-07-29 22:43:49
0
fefe :
Yeah
2026-07-29 18:46:32
1
official @25 :
oya natamani ata nisinge kuona
2026-08-01 15:29:36
0
prince jack :
Mbon mm nabonyeza inagoma simu ndo inazima et
2026-08-01 18:26:13
0
ravi‐rajab :
Gudubay kuna mtu anapenda sana kuazima cm za watu anaanza kukagua.asante sanaaa
2026-08-03 10:45:19
0
chinaaa99❤️❤️ :
Asante kaka imenisaidia
2026-08-01 09:02:31
0
Mamy raiyan🖇️❤️🦋🌸💍 :
Samahan me wallpaper yng si hiyo naomba unisaidie 🥺
2026-08-02 10:05:06
0
@Chazy✨Lyimo. :
we mkal kakaaa🔥🔥🔥🔥
2026-07-30 22:22:58
0
meryjoseh0 :
Asntee imekubl 🥰
2026-08-01 18:49:20
0
Ally Sharyph :
na inachukua mda gan kuitumia tena baad ya kuitoa
2026-07-30 15:41:50
0
Debbie🦋 :
😂😂😂
2026-07-29 16:03:27
1
itz raynash :
Tunaomba utufundishe na jinsi ya kubadilisha nyimbo ya kuitwa maan tangu nmeweka sielew ntabadilisha vipi @Mr DAP
2026-07-30 20:39:17
0
MOJA MEREKWA :
😂😂😂
2026-07-29 17:47:51
1
mercynaiman :
🥰🥰🥰
2026-08-01 19:06:45
0
To see more videos from user @digitalaccessoriespoint, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.