@mwanrique: Madanguro yamezidi hapa mjini, kama unahitaji kuweka pool ili upunguze #Madanguro - Wasiliana na Linah Shayo +255 656 432 605 akupe payment plan nzuri ya kulipa standard pool Unalipa kidogo kidogo, ukimaliza wanakuja kukuwekea Usikubali biashara ikufanye uache kufika mbinguni 🔥
Why be concerned abt what customers wanafanya kwenye hizo rented houses!?
2026-07-29 18:20:21
4
simulizi_na_shuhuda :
Shida pia baadhi they don’t pay well ndo mana cleaners wanaforce wengine tamaa
2026-07-29 19:02:39
1
mulastar255 :
Unaongea kitu cha maana sana ila dk 9 ni nyingi sana. at least dk 3 next time
2026-07-29 21:13:06
3
Martha Ndimbo :
ila judith ndugu yangu ningumu sana kuku elewa. maaana au vipi kuhusu huyo mwanafunzi kuwa wa mwisho yani ilitokana na nini na iliishia wapi. na hizo bnb ukipata mteja inatakiwa umsimamie asifanye upuuzi au inakuwaje
2026-07-29 20:59:20
2
tulu :
sijakuelewa
2026-07-29 18:29:46
6
JOPALII :
maisha ya ssaivi uta amua biashara upate pesa au kuleta sheria🤣🤣🤣
2026-07-29 22:23:41
0
MZR_2326 :
BnB ni nini ???. naomba kujua
2026-07-29 20:13:05
1
Sally :
Houseparty yoooh 🙌
2026-07-29 18:39:17
6
LeonardoDaVinci :
Na mm mtazamaji video inagoma kuplay kweli shetani hataki mema
walau tumeshuka, Kuna kipindi tulikuwa 2nd baada ya UG
2026-07-29 18:59:33
3
Chilar :
Madanguro plus plus
2026-07-29 18:39:44
1
Sogone_tz :
nilijua ndalichako
2026-07-29 18:36:44
1
@arbitrage.dreamer :
So sad, but I can testify kama mtu unajua unacho kifanya Airbnb and booking.com are enough to get customers. Niliconment kwenye post yako moja kuwa ndo kwanza nimeanza Airbnb business on may this year but huwezi amini nimepata guest from may tarehe za mwishoni same to June and July and this August Niko booked mpaka tarehe 22. I wish people should understand this. And for anyone atakae Ona hii iwe a sign to use OTAs to get guests.
2026-07-29 15:07:09
3
RIYADH🇰🇪 :
DANGURO WATEJA WAKE WAMEKUA WENGI ITAKUA😂😂😂
2026-07-29 15:24:59
2
Karibu kwetu :
Km Tanzania ni no 4 ina maana tumeshuka chini tulikuwa 2 I think
2026-07-29 19:19:11
1
🚸 :
BnB ni kifupi cha bagamoyo au
2026-07-29 21:23:55
0
@D :
NBN hizi ni nyumba maalumu za kukodi/ kupanga kwa siku,wiki au miezi kadhaa zinakuwa zimeandaliwa vzr yani luxury zikiwa self contained na kila kitu
2026-07-29 21:44:34
0
To see more videos from user @mwanrique, please go to the Tikwm
homepage.