hizo chuma ukipanda weka ear pods masikioni afu piga usingizi, ukiamka hapo ni either upo stendi au kwa muumba ๐
2026-07-29 21:30:41
49
zombie :
wanazima ndio na kuwasha tiktok๐๐
2026-07-29 14:30:10
4
Mpinga_aL Capone :
sio utani izo chuma zinafuta 120 kirahisi kabisa...nilipanda Moja ya Tunduma acha tu kufika salama ni mapenzi ya Mungu
2026-07-29 17:09:17
9
Kelvin Sanga :
katarama ndio michezo yake hiyo.... ndio maana hata ligi yake na newforce haina mashibiki wala hamsha hamsha kipindi anaanza eti anafika mbeya saa nane na madakika alafu Dar katoka saa nane na madakika alafu newforve inafika saa kumi kasoro au saa tisa na imetoka saa sita mchana.... unajikuta2 ni vitu haviwezekani kama2 ilikuwa inafuata sheria
2026-07-30 12:39:07
1
nathan ngailo :
masafara ya mbele akuna kuchek na barabara
2026-07-29 23:29:43
2
Emma :
Zina gusa 100+ hizi sabb gari ikitembea 85 inapitwa vzr sana
2026-07-30 07:19:14
1
Mamy is here๐ฅฐ :
Akaamua kupita katikati yao nร akaamua kwenda zake
2026-07-30 03:38:04
6
lumulieli :
huoni u
2026-07-30 04:11:30
0
josefu lesanoi molely :
umeme unatisha๐ ๐๐โบ๏ธ
2026-07-30 10:39:18
0
ROAD LIFE๐ฟ๐ฒ๐น๐ฟ๐จ๐ฉ :
imeenda EMZ ๐ฌ๐ถ๐ฅ๐ฌ๐ถ
2026-07-30 07:05:55
0
dully_khan1 :
ao boss kawapa uhuru kikubwa usalama kwa abiria na bus zima๐ฅฐ
Hiyo ishu huwez amini msimamiz na mtoaji ndo vijana wake wanaweka sawa hivo vidude ikiwa 100+ kinaosoma 85 ndp mana unaweza shika simu speed 110 na hakilii
2026-08-02 15:32:13
0
Nazary_7 :
maswal gani unauliza mkuu
2026-08-03 08:10:06
0
Tumain๐จ :
umeme
2026-07-30 20:25:27
0
Operator Kennyone :
hiyo chuma ukipanda ni noma ๐ ๐
2026-08-01 21:47:42
0
yusuph mohamedy :
Mimi nishapanda ally aise wale jama wanazima maana sio kwa mwendo ule tulitoka dar saa tatu kwanza tukaingia dodoma saa saa tisa usiku yaani ni hatar sasa hizi basi allys na katarama ukipanda jiandae kuumia sana