@islamic_rihla: Faragha ya ndoa ni amana. Si kila jambo la nyumbani linapaswa kuwekwa hadharani. Muislamu anatakiwa kulinda heshima ya mwenzi wake na kutunza mipaka ya stara ambayo Uislamu umefundisha. 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH IZUDIN ALWY AHMED 🌱 Usiache kheri iishie kwako. 📤 Shiriki video hii, huenda ikawa sababu ya mtu kutafakari namna anavyoitunza faragha ya ndoa yake na kujenga familia yenye heshima na utulivu, kwa idhini ya Allah. ❤️ Like • 💬 Toa maoni • 🔖 Save • 📤 Share 🟣 Follow | Share | Save Islamic Rihla — Safari ya Imani #islamic_rihla #islamicvideo #uislamu #islamic #islamic_rihla 🟠 FOLLOW US