@officialsadati1: “Maisha yana sura nyingi. Leo moyo wangu umejaa simanzi. Mungu akupe nguvu na uvumilivu, rafiki yangu. Tutakuombea kila siku. 💔🤲

Sadati 
Sadati 
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 29 July 2026 14:59:16 GMT
254468
12881
774
720

Music

Download

Comments

hemedy_papy
PAPI MANANASI🍍 :
Rule no 1. Of Life 1:GET RICH OR DIE TRYING
2026-07-29 17:57:14
1078
user413977894
MO.ONE 👊💪 :
lakin kesi ya mirungi kweli miaka 30.dah so sad
2026-07-29 18:59:02
316
realhappymrema
🦋𝐇𝐚𝐩𝐩𝐲Joy🧠 :
na u handsome wake dah so sad
2026-08-01 13:42:06
0
amina.salimu11
Amina Salimu :
mmm atar hii
2026-08-01 08:23:30
0
ms_nice203
. :
Ikitokea swala la kumchangia apate dhamana weka hapa, tuko tyr kumuokoa genz mwenzetu ni harakat tu aisee
2026-07-29 22:08:27
437
kutiana.com
𝐃𝐉 𝐃𝐄🇹🇿🇨🇦🇺🇸 :
familia wazembe sana Kwa mfumo wetu huu wa samia mtu anafungwa myaka30 dah washikaji changeni milioni5 ndugu wa mama wachange milioni 10 ndugu wa baba wachange milion10 Milioni 25 anatoka vizuri
2026-07-29 20:20:36
118
...m.born
🌚. m born :
My name kumbe daa so sad😳
2026-07-31 05:30:47
0
mwambaalley
Mwamba Alley :
niulize mimi hio
2026-07-31 14:28:16
0
irene55810
IRENE@BEAUTY SALOON❤️😍🦋 :
Real appreciati him🥰
2026-07-31 10:19:46
0
mhindi12
Mweusi :
Daaah uyu jamaaa simfaham wala nin lakin dah nimeona ile taarifa imeniumaaa sana sababu mshikaji ni mpambanaji wala haibi cha mtu Allah ampe wepesi naimani atatoka tu
2026-07-29 17:35:30
116
akbarbachir
Bashir257 :
Kam alikuwa na myaka 20 atatok akiwa na 50 daaah 😭😭😭💔
2026-07-29 19:35:31
52
itstasha_80
itstasha_80 :
Me kaniuma sana yan,wanatufunga vijana wakati tunajitafuta..wanaacha wanaotunyonya,hii nchi miyeyusho sana..30yrs km kabaka vile dah
2026-07-29 19:36:31
38
halimakp04
🌸MOMY🌸ILHAMU🌸 :
jamn 🥹🥹🥹mpaka nimelia nimempend 🥹mungu atamjalia miaka iend haraka harak atoke🙏🙏🙏🙏
2026-07-29 15:03:10
77
fazachuma
fazachuma :
GET RICH OR DIE TRYING 🙌🚶
2026-07-29 19:01:58
18
sherrymeddy
Sherry Meddy :
InshaAllah Biidhinillah atatoka kabla ya hiyo miaka kufika
2026-07-29 18:41:30
78
lavan.mastercode
Lavan Mastercode :
na angekua na pesa asingekaa jela, ✊👑
2026-07-30 19:04:21
5
wizzyefx0
Wizzy Efx 001 :
dah he kaz imekua jau wallah🥺
2026-07-29 19:55:26
6
lolabeautyshop
MokiLola :
usiweke hii ukaisambaza sana muombee mungu tu inshallah mungu amjalie atoke
2026-07-29 19:54:38
20
proms_thescorpion
Proms_thescorpion :
Kikubwa asikate tamaaa Lkn inamuumizaa🥹😔😫 Yaan siwez kujizuia
2026-07-29 19:31:34
7
brinna153
🦋brinnah🌺🌷 :
Jmn naomba kuuliza kwan haina dhamana hii kesi🥺🥺
2026-07-30 05:05:04
8
delle.ally.mwalela
Delle ally mwalela :
Umaskini ndio unatufanya tukarisk maisha yetu ingali bado tunahitajika na ndugu, jamaa na marafiki 🙏
2026-07-29 18:13:15
13
kingmoh.07
TANGA BOY🤴 :
sad story
2026-07-29 16:59:27
11
To see more videos from user @officialsadati1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About