@bbcnewsswahili: Hebu fikiria umeenda likizo nje ya nchi, lakini vita vinazuka ghafla na kukulazimisha kuanza maisha mapya ugenini. Hilo ndilo lililomtokea Alla Nikolaieva kutoka Ukraine. Sasa anaishi Zanzibar, ambako ameanzisha mgahawa wa vyakula vya Ukraine unaounganisha tamaduni za Ukraine na Zanzibar kupitia chakula. Mwandishi wa BBC @Elizabethkazibure, alikutana naye Jambiani na kutuandalia taarifa hii. 🎥 @frankmavura #bbcswahili #tanzaniatiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #foryou #fypシ゚viral #ukraine

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 29 July 2026 15:03:36 GMT
41007
2198
58
127

Music

Download

Comments

lahsenmohammed
Lahsen Mohammed :
Welcome to my world 😔
2026-07-30 00:41:28
0
underthewatch
underthewatch :
msitugombanishe na Putin hatutaki
2026-07-29 17:11:17
39
poa449
user1051741143592 :
mama nnaomba number yako pls
2026-07-29 19:18:33
0
mwinyialikassim
Mwinyi Ali kassim :
well sister well come to zanzibar
2026-07-30 07:33:28
0
narmin.niroo7
Narmin Niroo :
nakumbuka hii pale golden tulip waliokuwa wengi sana
2026-07-30 10:19:22
1
user4177550832597
siyong :
welcome Tanzania
2026-07-29 16:58:39
2
lunaodress2
Lunoa gal🌑 :
all in all naomben kazi ya waitress please
2026-07-29 15:15:29
2
tuhamimi3
Tuha :
wasije kutuwekea kambi za kijeshi mana hawa kazi kuzichafua nchi kwa vita
2026-07-29 17:10:36
2
wiseman.0104
🇵🇸 :
Zanzibar 🏝️ni moja tu
2026-07-29 19:51:03
2
sakhrmanyzanzibar
sakhrman zanzibar 💦🪼🌴🐙🐚🐬 :
putin nae anasemaj kuhusu base y Ukraine ndan y zanzibar 😂
2026-07-29 18:20:46
1
nancynargis4
NancyNargis🇹🇿🇨🇳🇿🇦 :
Maisha ya bianadamu yanaweza kubadilika ndani ya dk chache tu na kila kitu kikawa historia
2026-07-29 18:23:34
6
safiamuhiddin
Mrs Edy Haroun :
Doh so sad Wallahi😌
2026-07-29 17:08:00
0
unknowinglygnfffhjutr1
msema kweli zanzibar :
karibuni sana marafiki zetu wa Ukraine 🥰
2026-07-29 22:02:45
1
sameeral930
Sameer al Nassor :
welcome to island 🏝 of cloves the beautiful island in this world 🌎
2026-07-29 16:15:19
0
ndimbe53
ndimbe🤕👀 :
nataka niwe mkweo
2026-07-30 08:41:53
0
wilsonsquotes
.following :
Tanzania oye🔥
2026-07-30 08:22:27
0
munir0.com
Munir 🇦🇪 :
kwauzuri woto wapo Urusi na Ukraine tunao wote
2026-07-29 16:59:59
0
bedageraldmgonja
🇹🇿 Beda- mgonja :
karibu nyumbani
2026-07-29 17:56:57
0
faith.sakui0
Faith Sakui :
karibu sana!,lakini hawa huwa hawatutaki kabisa😳😳
2026-07-29 17:38:00
0
kalosto
Solomon :
mungu akupeni nguvuuuuu
2026-07-29 18:31:59
0
thegolden_boy255
The Golden Boy :
Thank you so much for this love for our country 💖
2026-07-30 09:34:43
0
www.tiktok.com.gem
GEM :
mlimchokoza putin lakini ila vita sio vizuri wale wazee tukinukishe hili ni funzo zuri kwa wtz
2026-07-29 18:26:42
0
buyboy7
buyboy7 :
kumbe walikuja hadi huku jamani
2026-07-29 21:47:52
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About