BUYENZI NDIO BUJUMBURA NAA NDIO BURUNDI.popote nitakapo kwenda Buyenzi ndio nyumbani iswaili asili yangu uislam dini yangu.
2026-08-03 14:28:27
0
Ayubu Mwakipesile :
Historia ayipoteyi hata kidogo ila wanajaribu kuyipoteza 😢😢😢 Mon pays 🇧🇮 😢😢😢
2026-07-29 16:53:50
0
Dada🦋🧕🏽 :
History Nzuri sana ya kwetu Buyenzi 🇧🇮👌
2026-07-31 11:06:48
1
Ashanti :
wazee kama hawa bado tuna wahitaji sana ❤️
2026-07-29 22:48:35
3
richmoo :
N kingine wa babu zetu walikuwa wakizungumz kifaransa vzri pia na lugha ya taifa kirundi ndomana ilikuwa kwao virahisi kujikita kweny mambo ya siasa
2026-07-30 17:41:34
0
Mr.Helper :
tunaomba muendelezo
2026-07-31 07:33:39
0
Queen-b89🇫🇷💙🤍❤️ :
Mze wetu wa ku 5 numéro 26 Buyenzi mze anzuruni 🥺
2026-07-30 17:19:47
0
user3234220918556 :
nc mzewangu eeee 🥰🥰🥰🥰 nc burundi
2026-07-30 08:02:05
0
Gatendeli :
historia nzuri sana
2026-07-30 18:02:15
0
richmoo :
historia aijapotea bali sis watoto ndo atuhijali tena yani hatutaki kufahama tena ya wababu zetu ndomana aisemekani tena
2026-07-30 17:40:00
0
Kijana wa busara 🫡 :
Io nikwel kbs nawala haipingwi
2026-07-29 17:41:12
0
khazar bint rasheedy :
Navyo tamani paingiye mu slim u president wallahi Ili inchi isafike
inchi haitakati sababu hawaja weka Muslim wa Islam wanaogopa kula rushwa biturire Wana hofu na mungu
hata kama wakila hawato dhulumu saana kama Hawa ndugu zetu
na sisi wa Swahili ndio watu wakwanza tugobania uhururu shaaaa turateye ikigongweee
2026-07-30 05:13:02
0
Abushukri :
Mababu zetu mulitukoseya kufukuza wangu
2026-07-30 16:23:05
1
Samia saido :
mze Anzuruni
2026-07-30 16:36:17
0
B-Love♧☆♤¥€◇□¤¿ :
🥰🥰🥰
2026-07-30 12:27:38
0
To see more videos from user @single_republic, please go to the Tikwm
homepage.