@come.tv.tanzania: Jamaa kasomesha ila mwisho anaambiwa Umekuja bila kunitaarifu unaniabisha!! #dodomatanzania #somalitiktok #kenyantiktok🇰🇪 #bujumbura_burundi #kinshasa #rwandatiktok🇷🇼 #zibabwetiktok #mbeyatikto #burunditiktok🇧🇮 #kampala_uganda #uganda tik tok #southafricatikto #mtwarandiok #nairobitiktokers #daressalaam #congolai #diamondplatnum #BUNGENIDODOMA #tamuchungu #mozzarella
Come Tv Tanzania
Region: TZ
Wednesday 29 July 2026 15:36:23 GMT
Music
Download
Comments
Jonahside :
sheria. USITOE HUDUMA
2026-07-29 18:59:41
6
@mkwayaThaprince :
nakuua mamae🤣🤣🤣
2026-07-29 18:26:47
5
Neemalodrick :
mshaambiwa mpenz hasomeshwi hamtaki 😂😂😂
2026-07-29 18:22:30
5
Issa Mahmoud Issa :
Aib naona mm😭😭😭😭
2026-07-29 18:44:19
4
Joycehot1 :
ndo mahana tuna kufa mapema
2026-07-29 17:10:33
7
Fedricksancho :
tulisema kusomesha ni watoto wako tu ma so watoto wa wengine
2026-07-29 16:55:14
3
Masudy Kipanya :
mamae
2026-07-29 16:27:51
0
Jozee47 🏇 :
#Wakuuuh 😳😳
2026-07-29 19:05:21
1
Shuby Bakama :
ndo walivyo
2026-07-29 15:39:44
2
don~dollars :
labda hii ni movie,,wapo location ee,,
2026-07-29 20:38:12
0
Fanuely :
kuna watu wana moyo sana unapiga magoti 😳
2026-07-29 21:17:11
0
🕋🕋 MUSLIM 🕋🕋 :
mapenzi
2026-07-29 19:36:01
0
Robby Tiles :
Hii kitu imeshanikuta na ndiomaana nipo single
2026-07-29 19:08:18
0
kaumbya🇹🇿 :
sasa apo akifanya lolote binti utasema kakuonea? wakati anakusomesha ukuona kama pesa zake zakukuhaibisha sijapenda
2026-07-29 18:39:28
0
Halima Omary :
😳inauma usiombe ikufikie
2026-07-29 16:13:52
0
💞Honey❤ :
jaman inauma sana 🥺
2026-07-29 17:02:33
0
أنور✅ :
2026-07-29 17:58:39
0
Fred lee wong :
So sad
2026-07-29 18:40:48
0
Octavian :
mh jamn inauma
2026-07-29 18:02:14
0
user243861496148 Beatrice :
aje kwangu uyo
2026-07-29 18:39:56
0
amina nkwande :
pole kaka usikate tamaa
2026-07-29 16:34:03
0
To see more videos from user @come.tv.tanzania, please go to the Tikwm
homepage.