@juleybib_tv_nuruyauislam: Sheikh Walid Alhad Kawambwa bado anatoa Madini🙏🙏🙏 Juleybib TV Elimu, Maadili na Nuru ya Uislamu🤝🤝🤝

Juleybib TV Nuru ya Uislamu🤝
Juleybib TV Nuru ya Uislamu🤝
Open In TikTok:
Region: MZ
Wednesday 29 July 2026 15:57:23 GMT
4563
460
14
37

Music

Download

Comments

babakearapha
Ba arapha :
mimi sasaivi had waganga nimewasahau walikua wana kula pesa zangu sana aise unamsafirisha mtu kutoka tanga had dar unamlipa halafu hakuna kitu ila tangu nianze kudumu na Dhikri na swala za mtume na sunna ... daaah mambo yamekaa na moyo umeridhika sasaiv napaua nyumba yangu.......
2026-07-30 07:03:34
4
riri.white5
Riri white :
sasa se wanawakeee
2026-07-29 20:01:39
0
razaksaide
BAZA BAZA :
Allah atupe mwisho mwema
2026-07-29 17:07:04
1
alfani.sheki
Alfani Sheki :
nina ushuhuda juu ya hili
2026-07-29 18:35:46
1
mwanakamemdogo
Mwanakame Mdogomunaa :
Na ss yunaoswali nyumbni shekh
2026-07-30 14:11:42
0
aziza4174
aziza :
sasa sie wanawake tunaosali majumbani jee hiyo dua tuombe
2026-07-30 13:41:59
0
sekibiki.deliciou
sekibiki delicious ❤️ :
jamani tunaesalia nyumba
2026-07-30 11:39:27
0
babakearapha
Ba arapha :
hii ndio mikoba sasa mm ninayo ipenda 😁
2026-07-30 07:01:53
1
user6699450072728
ally ngido :
🥰🥰🥰
2026-07-29 18:24:20
0
maryam.mkali3
Maryam Mkali :
🥰🥰🥰
2026-07-29 18:10:22
0
sharu20256
SHARU2025# :
😁😁😁
2026-07-29 17:08:34
0
alliy.sheff_73
Alliy sheff_73 :
🥰🥰🥰
2026-07-30 11:30:14
0
To see more videos from user @juleybib_tv_nuruyauislam, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About