@dw_kiswahili: Ukiiona bendera ya Tanzania leo unaweza ukadhani ilikua hivyo tangu mwanzo, lakini ukweli ni kwamba kabla ya rangi hizi nne unazoziona sasa bendera hii ilikua na rangi tatu. Leo tunakupitisha kwenye mabadiliko hayo. #DWTunavuma #vumakwakishindo #tanzaniantiktok🇹🇿 #civic

DW Kiswahili
DW Kiswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 29 July 2026 15:58:39 GMT
21787
1085
40
20

Music

Download

Comments

wino_wa_tope
wino wa tope ✍️ :
hahaha sjmce wote hamjui
2026-07-29 17:45:13
2
user4281404670278
kevoor :
jamaica
2026-07-30 04:53:16
0
_user098765432114
_user0987654321 :
hakuna rangi inayoitwa NJANO kwenye bendera ya Tanzania bali ni rangi ya DHAHABU ambayo ilikusudiwa kuwakilisha madini tuliyonayo nchini refer to National Emblem Act
2026-07-29 17:09:34
5
elimika_
Elimika :
kumbe tanganyika hawana bahari?
2026-07-29 18:33:30
3
sulejames7
Munttary Sulley :
🇹🇿🇹🇿 Tanganyika Nzurure
2026-07-29 18:49:58
3
mjidukahindi
HII NDO DUNIA YETU :
iyo njano inamaanisha nn
2026-07-30 03:49:20
0
afsheenrahim747
Afsheen Rahim :
😂😂😂@
2026-07-30 07:29:26
0
prince.nardleo
Prince leo :
2026-07-29 17:17:26
1
modino88
Dino :
huyu mtangazaji Anastasia nani
2026-07-29 21:19:29
1
kokujj24
koku jj24 :
bendera yetu ya zaman ilikuwa nzur
2026-07-29 17:55:48
2
bahati.isai.mbega
bahati isai mbega88 :
mie naijuwa
2026-07-30 06:49:04
0
mr.twite
Mr.twite :
hatuna rangi ya njano kwenye bendera yetu,tuna rangi ya dhahabu
2026-07-29 17:56:04
2
user73131001998720
mom mina 💦💦 :
mashaallah
2026-07-30 05:08:32
0
nicholasjclintongabone
nicolasjclintongabone :
Siyo Njano ni DHAHABU
2026-07-29 22:45:53
1
official_clintone
Mr Gabriel :
nimependa rasta zako
2026-07-30 06:03:43
0
nurdin.hassan39
Eu sou maconde de t'nhica :
viva tanganhica
2026-07-30 06:22:26
0
ahmed.aly104
Ahmed Aleyy :
umetusanulia vzr
2026-07-30 00:36:57
0
inchargemanyot
A Ibrahim :
Bendela ya Zamani Ilikuwa Mbaya
2026-07-29 19:24:55
2
kaka.laurent
kaka Laurent :
rangi za yanga🥰
2026-07-30 01:38:24
0
rashidmnemo
rashidmnemo :
tanganyika hawajpt uhur mpak leo nandman hawan at bendera mbon sis zanzibar tunay yet
2026-07-29 18:04:31
0
user3808787721vikram
vikram :
watanganyikaa hawaitakii nchii yao
2026-07-30 05:26:35
0
zey.colletion
ZEY colletion 💐💐🥀🌸🌺 :
Bc hya😂
2026-07-30 06:31:20
0
To see more videos from user @dw_kiswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About