@clickmaster_1: Kutokana na Shuhuda ya maisha yangu na ushauri wa mama yangu nimewaletea wimbo mahususi kwaajili ya maisha halisi ya binadamu juu ya maendeleo binafsi na maendeleo ya kijamii huu ni wimbo wa kuhamasisha uvumilivu na juhudi za kupambana kiuchumi na kiroho pia🙏🏽 #WATAJUA #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #foryou #fyp

Click Master
Click Master
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 29 July 2026 15:59:22 GMT
130810
20699
546
199

Music

Download

Comments

salimjamadar0
Shalem Bin khail AL-Mandry :
Hii nyimbo kaka imenigusa tu sana,nilipoteza mama nikiwa miaka 7 : nikalelewa na mateso mimi na mkubwa wangu hadi kukimbia nyumbani family ya mama ikatutekeleza, baba aliowa rafiki wa mama maisha yakawa tabu ,baba akafariki Nikiwa kidato cha pili,nashkuru nilimaliza hadi chuo kupitia talanta yangu ya mpira,kaka akaniwacha miaka tano iliyopita nimebaki solo duniani ila nashkuru mungu naendelea kupambana licha family zote mbili kukeni na kuume kutukataa....🥺🥺🥺
2026-07-29 16:57:41
203
user1371845611610
Diplomat :
Mpe Obby Alpha Hp mbele Akupokee Mtaua Sana mzee
2026-07-29 16:48:01
138
johnchambo960
John Chambo :
Ila producer wa click master mkali sana
2026-07-29 20:55:27
10
nico.official47
Nico Official :
😃Zikifika 1k Mnisitue
2026-07-29 16:03:12
69
zuuh_chocolate
ZUUH 🥰 :
najua haiwahusu ila leo nimeachwa😭😭😭
2026-07-29 16:10:46
56
julys037
kibomba jeshi lamtu mmoja🥰😎 :
unaimba kama mbosso yani🥰🥰
2026-07-29 16:40:29
39
greepertz
@GreeperTz :
another coming heat song🔥🔥🔥🔥 watajua sikunikipata
2026-07-29 19:14:06
1
yohannadioniz
yohannadioniz :
Ashirikishwe Obby Alpha huu wimbo🙌🏾🙌🏾🙌🏾 au Joel Lwaga
2026-07-29 17:26:00
21
machete.wapili
machete wapiliTz :
Click master Kipaji xaaana💯 Joh blessed one day yes 🤲🤲...
2026-07-29 20:15:08
1
alexzander7733
Alexzandra :
zaidi ya 3k like 👍 next God bless you brother
2026-07-29 16:14:41
3
reucky_officially7
Reucky officially_👑 :
happy birthday linnah wherever you are
2026-07-29 17:09:26
1
masofaempire1
masofa empire :
unajua kaka ...appreciate
2026-07-29 16:35:32
2
nguvilason.og
Nguvilason :
vers ya pili mpe mama atie neno
2026-07-29 16:23:08
19
emanuelirashid176
Emanueli Rashid pop :
verse ya pili mpe chinga ibrah uone moto oyaaaaaaaaaaaah anauwa kinoma au dayooooooooooooooo ukienda kwa mboso sasa utalia nakuambia ukweli kaka nakuona mbali sana tena sana mungu ata kuweka kwenye nafasi kubwa sana mm naamini hilo bro umenigusa sana
2026-07-29 19:11:45
5
miriammagaka27
[email protected]@mu :
nice hit bro ❤️❤️❤️❤️
2026-07-29 16:03:52
1
waryobatz5
waryoba_TZ5 :
kama kwaya vile ila si kwaya wee noma clik Master
2026-07-29 16:15:46
4
xhidy.tz
XHIDY TZ 🇨🇩🇹🇿 :
aaambushiii 🔥
2026-07-29 16:02:20
8
sweatmelody1
sweat melody :
kaka nashida naw nitakupatej nami unisapot kaka
2026-07-29 16:59:23
4
ivangasper77
Ivan :
naomba kama itakupendeza vers ya pili akae Diamond au mbosso au Marioo please bro, huu wimbo unaweza kuwa wa maombolezo africa nzima 🥹🥹🥹
2026-07-29 16:34:36
6
omarion__3
𝓝.𝓨.𝓔.𝓜.𝓑.𝓞🚀 :
Obby Alpha would kill in this one🔥🔥🔥🙌
2026-07-29 18:34:04
16
nyamboboe1
Nyambo boe🎙️ :
Bwana yesu asifiwe wapendwa wa bwana 🙏
2026-07-29 16:47:40
7
meneking18
kingmene :
dogo kumbe wakwetu...ndagha fijo nnughuna ghwangu kyala ali nanungwe..mma tuli pamopene dogo ..
2026-07-29 16:08:14
34
rashifold3
rashifold🇹🇿🇹🇿 :
verse ya pili muweke ally kiba au harmoze
2026-07-29 16:48:13
15
isaacesau.daud
isaac esau daud :
sauti ya mbosso mtupu
2026-07-29 16:36:19
8
lamson.sajent
lamson sajent :
Neema ya Mungu ikulinde daima.
2026-07-29 16:48:11
5
To see more videos from user @clickmaster_1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About