Nilitaka kwenda kuolewa ila nimegaili bora niwapambanie wanangu
2026-07-29 19:52:09
10
Mama Africa designer 🇹🇿👗✂️ :
Point na ndo maana nilimtafutia kasichana kangu kakiwanja now najitafuta nimjengee walau vyumba viwili
2026-07-29 17:11:29
27
kenny :
sio kumtafutia Mali msomeshe na akikuwa muwezeshe aweze Kuja kujipambania
mbona sisi hatujawahi kupewa hata urithi wa kikombe na wazazi wote wapo pamoja
maisha ni fumbo hayana mwenyewe
2026-07-30 12:28:03
5
IJK💐✨ :
Usimchonganishe na baba yake mzazi atapata urithi kwa baba yake hata kama na wewe utamtafutia lakin usimnyime haki ya kurithi kwa baba yake pamoja na hayo usiache kumtafutia, ila kwa kesi ambayo mwanaume amekukimbia apo pagumu
2026-07-30 05:55:55
4
It’s Nancy🇰🇪🇹🇿 :
ngoja nimtafute mwanangu kwanza kisha niolewe kwanza kuolewa si lazima 😂😂😭
2026-07-30 06:38:18
7
essaa 🍃 :
Hii kauli ananiambianga mama yangu na imejirdia kwako Asante my love 😍😘
2026-07-30 07:44:36
6
Bintiyusto :
mbna huu ujumbe unanihusu japo sjaolewa
2026-07-30 06:17:37
3
Irene Magwizi :
🙏🙏 asanteee dr kwa kutukumbusha
2026-07-29 20:03:26
2
Official_isha :
Embu mie nimtafutie kiwanja cha 4 sasa 🥰
2026-07-29 18:47:51
1
richie154 :
jamn wewe...utaniliza
2026-07-29 16:58:58
1
Tricia Aloyce :
Nakuelewa sana yn sitaman hat kuolewa mim
2026-08-01 13:18:05
1
Nipha💫 :
duhhh thank you
2026-07-29 19:08:58
1
queen raiyyan :
Asante kwa ushauri
2026-07-29 18:56:47
1
𝕄𝕦𝕟𝕒𝕙 Platinumz🦋 :
kwanz ndoa ndio nini najiulza. kehhh Kwan nisipo olewa sihemi am. sijui kwann sin mda na kitu ndoa. weh. mtoot wang kwanza asee acha niitwe. Majin yote lkn yang yanaend. kwajil ya mtoto wang period
2026-08-01 08:51:04
1
Noufais outfits :
period
2026-07-29 17:58:50
1
mom✌️😏🤪🥰🥰 :
10/10 tujuane
2026-07-31 10:15:25
1
It’s Mamy☠️ :
Kabisaaa yaani
2026-07-29 16:55:41
1
Jackrose :
2026-07-29 16:28:20
1
Mom Clara🥰 :
Point kabisa kpnz acha niendelee kupambana kwaajili ya mtoto wangu weee hunambii kitu kuhusu mwanangu aisee
2026-07-29 18:12:37
2
CHUBBY MINOZ ♏️🌊🧿 :
Umenena dear❤️❤️❤️
2026-07-29 16:53:36
1
GLADNESS SHOE POINT :
kama Una Namba ya voda endelea kua nayo kpnz asante
2026-08-18 05:17:16
0
mariam akyoo :
Nipo na wewe mpaka mwisho bado tu kumuwekea nyumba zakupanga mwanangu na biashara yangu niya mwanangu nipo na wewe mpaka mwisho
2026-08-01 20:43:12
0
잔ㄴ지발 :
hapo.unasema uongo watoto wengi wanateseka kwasababu baba yao kuoa mwanamke asie mama yao
2026-08-01 05:18:17
0
Boni tz :
Muombee writhing hakuna
2026-08-01 04:21:52
0
kaybrown :
haswaaa🥰
2026-07-29 19:39:38
1
To see more videos from user @itsbeckyher, please go to the Tikwm
homepage.