@bbcnewsswahili: Mama mmoja kutoka Ukraine anasikiliza mapigo ya moyo wa binti yake aliyefariki—sasa yakidunda ndani ya mwili wa mtoto mwingine. Nazar, mwenye umri wa miaka 12, alipata nafasi mpya ya kuishi baada ya kufanyiwa upandikizaji wa moyo. Kwa miaka mitatu alikuwa akipambana na saratani ya damu (leukemia), nimonia kali na hatimaye moyo wake ukaanza kushindwa kufanya kazi. Uamuzi wa familia ya msichana huyo kuchangia viungo baada ya kifo chake ulimpa Nazar zawadi ya maisha mapya❤️ Mwandishi wa BBC @sarafinarobi na taarifa hii - - #bbcswahili #tanzaniatiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #fypシ゚viral #foryou #afya
hili swala ilibidi ataangaze doctor sio huyu anaedai bint aliekufa ndio maana hatuelew ila najua hii ishu ya upandikizaji ipo ila sio kutoka kwa mtu aliekufa
2026-07-29 21:08:58
0
H.a.p.p.i.e Tz🫧🦋 :
Mashaallah allah ampe furaha uyo mama
2026-07-29 19:14:38
0
Madam Dianna :
Dahhh
2026-07-29 18:46:49
0
tatzoK :
Moyo wa marehemu (moyo wenye afya) unaweza kuchukuliwa na kupandikizwa kwa mtu mwingine aliye hai. Zoezi hili linatakiwa kufanyika muda mchache baada ya umauti ili moyo uchukuliwe ukiwa bado haujafa kabisa.
2026-07-29 18:20:32
0
Bakari 💫 :
maendeleo
2026-07-29 16:38:05
0
kefa👿💀 :
kwaiy huyo atakuwa anapenda wale watu wa yule binti ambao anawapenda
2026-07-29 20:02:55
0
Mr Sokwe :
kumbe moyo una moyo wake mwingine na hamsemi
2026-07-29 17:55:37
0
B_Makenzi_saint Africa :
mzungu mkubwa🙌
2026-07-29 17:31:11
0
Man victor :
duh ni kwelii au mnatuzuga jamen
2026-07-29 17:41:01
0
winlogan001 :
hivi mtu akihamishiwa moyo kama kunamtu alikuwa anampenda je na yeye atampenda
2026-07-29 22:03:04
0
Fahyma :
Eeeeeh
2026-07-29 16:40:01
0
Mokham :
ikiwa uyo mtu anampenzi 😂😂
2026-07-29 16:36:43
0
wezzo :
🥰🥰🥰
2026-07-29 19:26:05
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.