@laughs_on_leonardo: Kuna Maisha Baada Ya Viapo Vya Ndoa, Mwenzako Atavumilia??? @_lu.ivan 🎥: @sixndale @jaykiporo @boaz.niva Edits: @jaykiporo #afterwork NB: Video hii imelenga kuelimisha. Si ya kudhihaki au kubeza watu wenye ulemavu. Tunawaheshimu na kuthamini utu wa kila mmoja.

Leonard Butindi
Leonard Butindi
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 29 July 2026 16:32:53 GMT
214224
11877
470
419

Music

Download

Comments

withblue__
Blue° :
this is so educational
2026-08-02 07:51:30
0
mc.tz06
mc tz :
🤣😅🤣😅
2026-07-29 17:30:54
56
mwanzakid17_3
mwanza_kid :
daah hi challenge jauu
2026-07-29 16:46:56
57
ally.ken7
Ally ken :
It's fun but there's something to learn.🔥🔥🔥
2026-07-29 16:59:03
31
jacklinemakombe
jackline :
challenge nyingine sio nzur kabisa
2026-07-30 00:07:38
49
hellenndaloeliasm
Mr's D... :
kemea na umwambie mungu ni unaigiza mana huwa inakuja kweli
2026-07-29 17:13:02
25
amina.shabani127
🦋Minha💕🍃🌝 :
😅😅
2026-07-30 05:04:18
8
rasheedrammy
✨️𝐭𝐬'-𝐦𝐞🧸 :
ikifika 1k nishtueni
2026-07-29 16:39:35
21
yuppie6068
yuppie :
inahitaji moyo sana, hapo hata ndugu wanakukimbia unabaki pekeako
2026-07-29 16:39:34
12
nestorymassawe556
Massawe Nestory✊ :
au Nini 🤣🤣🤣
2026-07-29 16:46:31
7
phany.lovebrandy1
Phanny Love Brandy~ :
natamani kucheka ila naogopa chumbani kwangu kuna mbu watajua nilipo😁
2026-07-30 16:54:00
8
user1058149410507
KisaboFashion :
ila huyu mwamba anajua kuliko jua lenyewe
2026-07-29 18:22:11
12
itz_abigael10
Itz_abigael :
Ila leonardo
2026-07-29 16:53:18
9
goodluckromsi
GATUH TOURNAMENT :
hahah baba we ni mkali wao kwenye content bab 🫡🫡🫡
2026-07-31 10:35:58
0
naahlyn
🦋naalyan🦋 :
ALLHA AUFANYIE WEPESI .SISI WANAWAKE MTIHAN MGUMUU USIOMBE UKUKUTE NAOPA SAN
2026-07-30 06:33:02
1
oloiborrolowuaru
Oloibörr Olowuaru :
aah napenda mandhari naona chess game pale ,
2026-07-29 17:06:34
7
prianca2000
It’s Prianca🧠⏰💸💰🙏🏾💜💫 :
Ila nyieee😂😂😂
2026-07-29 21:56:13
5
abeid881
𝓐𝓑𝓔𝓘𝓓🐝 𝓐𝓜 💫 :
huyo NI mke Kaka mtafika mbali
2026-07-29 16:38:58
9
kevn.bouz
kevn bouz :
Dhuu, noma sana. kama utan ila ikitokea eeehe Mungu
2026-07-29 18:28:02
6
venancekazimili
Venance Kazimili :
ko kaka umetuamulia ilaaa @leonardo😂😂😂
2026-07-30 10:49:20
5
jjjbvhkljjkbvnghffb
Meshach :
🤣🤣 mwanetu kavunja Sheria kashikwa..🤣
2026-07-30 09:06:07
2
sihasweetytz
@sihasweety🌮🦋🦋 :
ni mwanzo tuuh mpe wiki nakwambia😅😅
2026-07-30 19:38:14
2
happiemathayo1
happie🌹🔥 :
Babangu aliumwa for 20years mamang amesimama nae kwa kpnd chote hicho mpka Mungu alipomchukua babang najivunia sana kua na mama kma mama yangu❤️
2026-07-31 06:12:55
3
To see more videos from user @laughs_on_leonardo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About