@asheli_r: #CapCut

𝐁𝐫𝐨𝐭𝐡𝐞𝐫 𝐀𝐬𝐡𝐞𝐥𝐢
𝐁𝐫𝐨𝐭𝐡𝐞𝐫 𝐀𝐬𝐡𝐞𝐥𝐢
Open In TikTok:
Region: US
Wednesday 29 July 2026 17:12:12 GMT
5399
192
8
48

Music

Download

Comments

user5790665024790
Lazalo mbogoli :
kwakweli wew ndo mwanamke wakuowa umesema ukweli ningekuwa sijaowa ningekuowa
2026-07-29 19:36:33
2
bahati.nzowa5
Bahati nzowa :
dada upo juu sana sjui nikulipe nini
2026-07-30 01:58:29
0
user7348519343140
Alexfokas02 :
sahh
2026-07-29 17:29:11
1
nestorysimon725
Nestory Simon :
ni kweli kabisaaa
2026-07-29 20:19:28
0
festohassani486
Festo Hassani :
nikweri dada hujakosea hayo mambo hapo anaweka mazoa
2026-07-29 19:16:09
2
joe890519
Joe :
Dada u're right mfano kama mimi mke nampa uduma zoote,kuna kipindi mke wangu aliniomba kama mala 3 tumsaidie kijana mmoja ambae alikuwa ana maisha magumu nilikataa baada nikakubali,baada ya mda nilianza kupata habari za ujinga wa mke wangu nilifuatilia nikakuta kuna mwanaume ninaemjua alikuwa anakuja kwangu wakati nikiwa kazin ulitokea ugomvi kati yangu na mke na siku iyo nikaamua kumfukuza uyo kijana,zilipita siku nyingi lakin mke wangu alianza kubadilika kitabia akawa na kiburi ananijibu ovyo mala twende kwa baba tukaachane nimechoka aya maisha nilivoona ivo niliamua kutumia ela kumfuatilia,niligundua mke wangu yupo kwenye penzi na yule kijana ambae ni muhudum wa bia bar aliyeniambia tumsaidie na mpaka nilienda nikawafumania.
2026-07-30 01:17:55
0
user7574671962471
Njuga :
👍👍❤️❤️💯💯
2026-07-29 21:27:18
0
To see more videos from user @asheli_r, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About