@hiphop_neverdie73: Hiphop ✊ | Champez @Coloradoking alisema hii kuwa akijaanda kufanya mazoezi huwa anamsikiliza sana @Dizasta Vina na Fid q | akidai kuwa track zao zinamuhamasisha au kumpa mzuka zaidi wa mazoezi..!! na hii ndo Tafsiri ya nguvu ya muziki✊ #viralvideos #trendingvideo #viral_video #tiktokviral #kenyantiktok🇰🇪
Dizasta anastahili more recognition kuliko hata Diamond
2026-07-29 22:01:46
0
PAKA🐈 :
HIP-HOP👊🏿
2026-07-29 18:35:08
1
FID-Q :
fid q respect xana
2026-07-29 22:10:23
0
𝘼𝙡𝙡𝙮𝙩𝙝𝙞𝙧𝙩𝙚𝙚𝙣 13 :
Hip Hop Never Die 👊🫀
2026-07-29 22:20:20
0
bigsound :
Dizasta is everywhere ad wampe heshima yake anayostahili jina lake litatajwa sana
2026-07-29 19:17:54
2
Mesballe :
Nembo ya mtaa
2026-07-29 20:00:57
1
taa :
🥰elewa sana Yan sana disaster
2026-07-29 19:22:33
1
@mnyakyusaŕ :
uyoo dizastaa nomaaa
2026-07-29 19:32:07
1
Gideon lameck :
vina
2026-07-29 18:55:15
1
Dr Makaveli :
kama unamsikiliza dizasta na fid bac ww ni familia
kuanzia leo mm shabiki yako🔥
2026-07-30 00:19:13
0
Fama_38💫 :
Dizasta.🔥🔥
2026-07-29 22:50:41
0
ALINTOMBAGA💪💪🙏🙏 :
Dizasta Vina Ni Logo Ya Mtaa
2026-07-29 21:55:58
0
MPALIGWA JR :
nilikuwaga namuona mwakinyo ni mtu wa majivuno lakini tangu nimeangalia haya mahojiano namuomba msamaha naomba nisamee mwakinyo kuanzia sasa hivi mimi ni shabiki yako number moja
2026-07-29 22:03:48
1
Amour S. Amour :
OG🫡🔥
2026-07-29 18:24:34
0
Madueke :
#DZTVN🔥🔥
2026-07-29 18:28:45
0
jawashisik :
🔥🔥🔥
2026-07-29 18:35:54
0
aiem Champez :
🔥🔥🔥
2026-07-29 21:25:37
0
To see more videos from user @hiphop_neverdie73, please go to the Tikwm
homepage.