@official_dariodavid: Kuna ushuhuda ambao hauwezi kuelezwa kwa maneno ya kawaida. Ni pale unapokumbuka ulipotoka, machozi uliyoyaficha, na namna Mungu alivyokushika usianguke. Kila hatua ya safari imenifundisha kuwa neema yake inatosha, na upendo wake hauchoki kuniinua. Siku moja nitasimama mbele zake nikiwa na moyo uliojaa shukrani, nikimtukuza kwa kila jambo alilolitenda maishani mwangu. 🤍🙏 #tiktokviral #tanzaniantiktok🇹🇿 #fyppppppppppppppppppppppppppppppppppp #creatorsearchinsights #trendingvideos @Worship In Spirit @Willybert Baraka