@dr_lizynaafyayako: 🌸 MSISIMKO KWA MWANAMKE 🌸 🥰 U hali gani mpendwa wangu? Natumai uko salama salmin. Basi mimi nakuombea kheri sana, uzidi kuwa na afya bora. ❤️🙏 Leo bana nasema na ndugu zangu wa kike, maana ninyi naona kuna sehemu mnalalamika na kulalamikiwa kuwa hamu imepotea kabisa. 😔 Sasa nikiwa kama Dr wenu pendwa, nikaona kwa nini nisiendelee kuwapa vitu muhimu na ninyi mpate kufurahia tendo, na pia waume zenu ndani wapate kufurahia tendo. ❤️🔥 🌿 Hili somo linawafaa wenye matatizo na wasio na matatizo kama vile: ✅ Hormones imbalance ✅ Kasri kutepeta (kulegea) ✅ Kasri kukosa joto ✅ Kukosa hamu ya tendo la ndoa ✅ Kasri kuwasha Yapo mengi sana, siwezi kuelezea yote kwa sababu ya ufinyu wa kuelezea kwenye mtandao, ila hii lishe ni bora sana na hautakuja kuisikia mahala popote. 😎✨ Si unajua sisi tunaanza, wengine wanafuata… 😉💯 🌿 Mahitaji: 🥜 Karanga mbichi zisage kidogo au ziponde kidogo zikiwa na maganda yake, kama ilivyo pichani, upate vijiko 3 vya chakula. 🍯 Asali vijiko 5 vya chakula. 🌿 Mdalasini vijiko 3. 🌶️ Pilipili manga kijiko kimoja cha sukari, chota kawaida usijaze. Changanya hivyo vitu sehemu moja, kisha utaloweka. Elewa kuwa utaloweka jioni kisha unywe asubuhi mchanganyiko huo wote, na utaloweka asubuhi kisha unywe jioni wote. 😊 Zoezi hili unaweza kufanya kila siku. 💪 🥰 Nawapenda sana na niwatakie mazingatio mema. Kwa ushauri na tiba nipigie 0799695777 au wasap 0719881752. #fyp #oman #tiktoktanzania🇹🇿 #congan #mwanamke
Dr Lizy uzazi
Region: TZ
Wednesday 29 July 2026 18:15:44 GMT
Music
Download
Comments
Happy Macha :
ila hapo zimemenywa je ni hayo maganda kabisa au zikiwa zimemwnywa lkn hilo ganda jekundu ndiyo tusilimenye?
2026-07-29 18:37:43
0
To see more videos from user @dr_lizynaafyayako, please go to the Tikwm
homepage.