@lubna_kim_kaz: #BabyLubna #newborn #TanzaniaTikTok #fyppppppppppppppppppppppp

26.08.2025
26.08.2025
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 29 July 2026 18:29:54 GMT
159821
3050
184
626

Music

Download

Comments

helenmahenge
da Hellen💃💕💕 :
hakasemi na hakaliii kametuliaa😂😂😂😂
2026-07-30 08:58:58
15
asiamalika505
sally 😘 :
jamani usiombe yakukute
2026-07-31 01:31:38
2
gridensiamwasene
dear♥️ :
nilitaftaga nililia jmn nilijuwa kaibwa
2026-08-01 07:07:33
1
shuum46
shuuu mzirai :
wangu
2026-07-30 15:08:59
1
waukwer2
mrs sheby👫👩‍❤️‍💋‍👨 :
mwanangu ndo ilikuwa michezo yake
2026-07-31 15:22:57
2
userwinfrida0
winfrida tz🍎🇹🇿 :
unaweza ukalia unaamk usiku unakuta mbu km wote apo alipo😭
2026-07-30 20:27:30
1
judithsimon710
judy :
nilitafta🙃🙂
2026-07-30 19:26:32
1
vee.money38
Vee money :
ishanitokea hii😁😁
2026-07-30 11:27:19
5
user1698184786263
Ruth :
Daah
2026-07-30 20:09:21
1
angel82029
angel :
😂😂 mwanangu wa kwanza nilitafuta kidg nizimie😂😂😂😂
2026-07-31 22:30:24
1
type.mponda
Type Mponda :
ishanikutaga sana
2026-07-30 19:32:28
1
lucyisack105
Lucy Isack :
ilinikuta hiyo🤣🤣🤣
2026-07-31 04:39:14
1
aksamusa7
ammy :
hahahahah
2026-07-30 18:37:21
1
sweet.mt00
sweet mt :
ishanitokea na mm mmh😁😁
2026-07-30 17:48:10
1
starah.jafari
Starah Jafari :
Usha nitokea mwanang an wiki that
2026-07-30 20:43:01
1
maky366
maky :
umenikumbusha,nili wehuka kwa sekunde chachetu😂
2026-07-31 11:40:56
1
user6137819714464
Mama_lee :
wangu nilimtafuta nikilia nmempata mvunguni ndani ya ndoo ameviringwa na neti kamelala abari hana🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-01 12:06:54
1
fatush.saloon
Fatush saloon💅 :
Wacha tu yalinitokea
2026-07-30 16:22:18
1
zuu.tepe
@Officialzuh :
Umenikumbusha mbali kabla mwanangu ajafikisha siku albaini ilinikuta hii nastuka nimnyenyeshe kila nikipapasa simuoni nawasha taa namkuta anabembea na neti nililia kama mtt
2026-07-31 10:20:02
1
mymoms06
Betty 🌸🌸 :
shoga angu, uwongo zambi toto zuriiiiii kama hili mungu👌🥰😂😂😂😂
2026-07-30 20:31:48
1
nabyalaba_17
nabyalaba_17 :
mmmh jamani ni kama mtoto wangu
2026-07-30 14:00:41
1
mwanaidi.ramadhan3
mwanaidi ramadhan :
Hahahaj
2026-07-30 10:59:14
1
salovatole
Salvatore :
nikajua wangu tu na isingzkuwa neti sijui ungekuwajee😅😆😂😆😆
2026-07-30 15:08:13
1
To see more videos from user @lubna_kim_kaz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About