@bbcnewsswahili: Kiongozi wa upinzani nchini Uganda anayezuiliwa rumande, Kizza Besigye, alianguka Jumatano wakati akihudhuria kikao cha mahakama katika mji mkuu, Kampala, ambapo anakabiliwa na mashtaka ya uhaini. Besigye, mwenye umri wa miaka 70, amekuwa kizuizini tangu Novemba 2024 baada ya kukamatwa pamoja na msaidizi wake, Obeid Lutale, nchini Kenya; wote wawili walirejeshwa Uganda ambapo baadaye walifunguliwa mashtaka ya uhaini. #DiraYaDuniaTV #KizzaBesigye #Uganda #Kampala #BBCSwahili @Roncliffe
bbcnewsswahili
Region: TZ
Wednesday 29 July 2026 18:49:58 GMT
Music
Download
Comments
ElisanT :
am a ugandan but Ruto is the problem
2026-07-30 14:33:39
3
unknown :
what is the work of international community stupidity they can't help
2026-07-30 00:53:15
4
BADDIE :
Ugandans wake up and save Besigye
2026-07-30 06:52:09
147
Reuben :
Besigye is the very reason I'll be waking up very early in 2027 to send Ruto home.
2026-07-30 04:47:36
110
mummys daughter :
The regime of M7 he is happy but God is watching
2026-07-30 07:06:15
35
twizere salama🇰🇪🇷🇼🇺🇬 :
Ruto see what you did bro lazima 2027 unatoka
2026-07-30 04:01:12
112
Hon Twinomujuni Innocent :
Ruto is the root cause
2026-07-29 21:02:34
116
Pius Omutaka :
kenyans you betryed us
2026-07-30 05:08:53
43
MADAM ESTHER BUDUDA :
This is the same man who treated musevine while in the Bush 🥲
2026-07-30 07:29:02
33
NAISULA MAA FASHIONS :
I blame Ruto
2026-07-30 05:28:09
37
grizzly :
Ruto and Museveni must pay
2026-07-29 21:25:27
44
Nankya saida :
ruto must goo
2026-07-30 04:35:04
30
@Rotiken Jr :
Tanzania and Uganda are twins of this nonsense
2026-07-29 19:18:55
21
NTV_UGANDA_02 :
besigye was arested in kenya
2026-07-30 09:26:37
1
Brother Ronnie 🇶🇦 :
Ruto betrayed us we shall not forgive him
2026-07-30 11:20:34
3
kirabo bantu✅ :
Kenya is the cause
2026-07-30 04:48:18
24
omwana wa kazo.Media :
Free Besigye
2026-07-30 12:01:23
1
justin :
ruto must goo
2026-07-30 04:20:26
13
Virtuous :
😢
2026-07-30 03:56:01
5
mhea :
tanzania and uganda 🥺🥺🥺
2026-07-29 20:23:18
26
Makamba john Makamba john :
yan huyo mseven mungu anamsubri
2026-07-29 19:30:08
42
Mussa Khalifa :
museven amebakiza mda mchache sana duniani ajitafakar sana
2026-07-29 19:32:39
31
Gerald Jabu1 :
Dah upinzani Africa ni mateso sana 😪
2026-07-29 18:58:08
23
The 1 n only :
na muwe mnamention ruto in this case cause he is the one who sent back him to Uganda from kenya
2026-07-30 04:45:32
15
Kamanzi Araali Richard :
Kenya is partly responsible for this.
2026-07-30 04:12:05
8
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.