@chidu.facts: #mwangaza💡 #jifunzekitu #tiktokeastafrica🇺🇬🇷🇼🇧🇮🇰🇪🇹🇿 #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktok

Chidu Facts
Chidu Facts
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 29 July 2026 19:17:15 GMT
515834
60919
235
3579

Music

Download

Comments

kaditomusc
KADITO MUSIC :
Sisi tunaamini sana process na Mungu anabless💯🙏
2026-07-30 14:51:33
166
user291silvq
@silvq zp1 :
wanaume tunaishi kwa imani
2026-07-30 10:29:50
183
bgkbekatz
Biob..🎸🎸 :
Katika Kitu Ambacho Wamefichwa Wanawake Ni Kuona Kesho Ya Mwanaume Ambae Anamdharau Au Anatarajia Kumdharau Mungu Awape Upeo Life Is Process 🚶
2026-07-30 15:15:54
107
.beauty.point.geit
beauty point geita :
Kuna mtu nmejitolea kumvumilia Kwa moyo wangu wote sometimes Hana ht pesa ya kula namsaidia lkn siamni sana km akifanikiwa atanikumbuka
2026-08-02 21:43:40
9
namamba37
namamba :
lakiniwengi wanashindwa kuwa na subra nandipo wanapofeli nawanasikiliza maneno yawatu ndipo wanapofoli apo kumpa sapot na kumpa amani na utulivu wanashindwa
2026-07-30 08:39:20
48
daud...paul
Daud.. paul.. :
kaka amepita mule mule. 💯💯
2026-07-30 01:49:25
42
matanorashidkaden
Matano Rashid :
wanatuachaga wakati hatuna kitu na wakiondoka tu tunafanikiwa thn wanasema sisi wachawi
2026-07-30 09:05:40
29
murexstar007jason
Murex07Jason :
Nikweli baba
2026-07-30 08:44:51
11
naytham.haytham
Naynah Ake Haytham ♒️ :
lakini sio kwa kila Mwanaume jengine waliona kabisa hili vivu walivumilia wap sasa na jibu vivu
2026-08-01 13:03:46
7
hunter30165
KADOGO :
Patrick Patrick Patrick ninekuita mara ngapi.?
2026-07-30 09:12:29
22
userbfan1
alfanifataa :
Zembwela leo umeniongelea mimi kabisa hayo ndo maisha yangu
2026-07-30 20:51:22
25
macktimotheo
macktimotheo :
bila kuchoka wana harakati🫵💪
2026-07-30 19:34:30
19
user4205978526677
dj Qusa 26 life tz🇹🇿 :
sana mkuu wao wanajiuliza kesho tutakuaje? wakati sisi tukijiuliza tutawafikishaje?
2026-07-30 06:32:04
20
mahamuduyusufu0
mahamuduyusufu978 :
mpakaa nimeku follow 💯
2026-07-30 14:13:45
8
manjemubakari
manji :
kwauwezo wa mwenyezi mungu iposiku na Saha tutasau hizi 😥😥
2026-07-30 16:23:06
12
baraka.mshana4
baraka Mshana :
kwelii
2026-07-30 08:17:52
6
akley57
Akley :
nice
2026-07-30 08:40:37
5
nassorom
mudrick :
najikuta nadondosha chozi la furaha haya maneno kama ameuona moyo wangu
2026-07-31 06:27:45
9
john.boy010
john boy :
Zembwela mtuu wa maanaa xn
2026-07-30 08:16:33
7
damir21944
✨ :
Mungu fundi 🤲🤲
2026-07-30 03:19:00
11
omymsomal
omymsomal :
sahihi
2026-07-30 07:18:41
7
kennedysangali3
kennedysangali :
kapita mule mule..... Asante Mtu mzima
2026-07-30 09:25:08
7
wizzychidy0
wizzychidy0 :
Tumuombe sana MUNGU tupate watu sahih wenye mioyo kama yetu yakufanana ili tufike nch ya ahad🥺
2026-07-30 14:44:25
6
manfredy186
Manfredy :
👍Nice
2026-07-30 05:23:28
8
user1142475940354
John Khantz 54 ❣️ :
kwetu Kila 👣 Dua 👊
2026-07-30 02:23:11
8
To see more videos from user @chidu.facts, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About