@emason146: 😃😃😃😂😂#creatorsearchinsights

HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI⚽
HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI⚽
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 29 July 2026 19:21:34 GMT
86564
4470
48
32

Music

Download

Comments

gammaray39gmail.com
GammaRay :
wenye akili pekee ndiyo tuliokuelewa
2026-07-30 11:08:36
15
johntn.tz
Official.Johntn.tz :
mwenye D mbili kaelewa
2026-07-30 13:24:44
11
manuboy8384
manuboy :
Ghalibu mzinga kucheza fainal trh Saba haizui chochot mkuu maan Rwanda masaa Tu kuingia Dar na Simba day wachezaj hucheza Usk na Simba day ni siku ya maonyesho Tu hmn haja ya kwmba wachezaj wamechoka wala nn maan NI Sawa na kufny mazoez tu
2026-07-30 08:00:03
2
user8160054939173
neema deus :
ss wenye d tumeshakuelewa
2026-07-30 18:26:21
1
fightergang_tz
Wasukumataifakubwa🌎 :
kwahy na hlo bonanza hawajafuzu
2026-07-30 17:30:12
2
khadijafaraji822
Khadija💕 :
nashindw kukuelew 🤣
2026-07-30 10:12:12
2
ligard075
lingard075 :
me naona angerud direct na kombe inge bamba zaid🤔
2026-07-30 06:13:08
4
benjaminkamani
ng'wana eliza❣️ :
na itakua ivo2
2026-07-30 17:15:39
1
user8147318626340
president of torenza :
viongozi wa simba endeleeni kisajili simba nguvu moja
2026-07-31 04:56:30
0
richard.mzuri.sam
Richard mzuri samasi Mzuri sam :
unamashisha kajivunja?❤️
2026-07-30 08:49:33
1
rafiiomary
rafiiomary kipande :
wakubwa tumesha kusoma mkuu
2026-07-30 17:48:14
1
mussamnzava172
SamMnzava :
Wajanja tumeelewa code
2026-07-29 20:49:58
2
doreenmwacha0
Doreenchama kibabage gueye :
tumekuelewa sana kaka
2026-07-29 21:32:37
2
clayton.dicra
Clayton Dicra :
kk tuna tulihijua mapema iyo
2026-07-30 05:31:54
1
janethkivuyo1
janethkivuyo1 :
una akili sana bro
2026-07-30 11:27:05
1
moffi205
moffi20 :
Gudu byeeee tumekuelewaaaa
2026-07-30 20:22:02
0
fanueli.fanueli2
fanueli fanueli :
nime kuerewa 👍👍👍
2026-07-29 21:23:27
0
ayoub.yusuf2
Ayoub Yusuf :
furaha yetu simba say😂
2026-07-30 16:36:23
1
manuboy8384
manuboy :
Sawa lkn atleast wachez mpra Wa kueleweka sas wasifunge Ila mpra WA kueleweka ungepingwa sas mpra wenyew hauelewek kisa Simba day
2026-07-30 08:01:22
0
user6588101284697
Abuu :
hahaha iyoooo
2026-07-30 06:27:27
0
japhari14
Japhari :
kwn Simba day haiwezkubadilika¿¿
2026-07-31 08:37:32
0
user2610861614681
makaveli :
Nimekuelewa sana 🤣🤣🤣
2026-07-30 08:54:00
0
nibaniijule
Nibani Ijule :
me mwemaaaaa😄😄😄😄😄😄😄
2026-07-30 07:18:44
0
momoo8685
M V P 769🔥 :
mimi nakuamini wewe tu pekiyako
2026-07-29 21:22:46
0
user7381718412445
vivany boy fondeishen :
kwaiyo unaka kunambia walifanya makusudi jamani au soiv mzinga
2026-07-29 19:39:10
0
To see more videos from user @emason146, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About