@drmtongori:

drmtongori
drmtongori
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 29 July 2026 19:34:37 GMT
62972
4652
249
167

Music

Download

Comments

lizzycute355
lizzycute👄🎀 :
Mimi naona saa mfanano
2026-09-25 21:04:57
6
simbajike6
Kadadaa🥰 🦋🦋 :
tunao angalia 25/9 ndo tusha pitwa au na leo inaendelea....
2026-09-25 18:23:14
16
veetruckdriver
❤️🇹🇿Vee Truck driver🚚❤️🇿🇦 :
hii full moon yoooh kichwa kinauma sana kama homa vile sielewi
2026-07-30 04:12:13
40
user9310072844583
Nasra abdul hayyi :
Furumuni ni siku ngapi
2026-07-30 07:58:48
13
user4135035141206
happy wambi :
jana nimekosaaa usingiz mpaka hasubh
2026-07-30 08:27:37
6
ambitiousme0
@ mabel :
full moon nagombana Sana Na mume Wangu .wh
2026-08-01 19:10:45
9
salmah6340
Salmah :
Nipo period,na ndoto nilizoota mbak naogopa
2026-07-30 04:28:36
8
the_real_meritorious
The_real_meritorious :
Kichwa kinauma ad nahisi nimerogwa Afu usiku naota wanyama wa ajabu nandoto nzito sana
2026-07-30 17:15:17
9
melareen8
Melanin🥳 :
Leo birthday yngu
2026-07-30 04:48:52
5
user1943967808286
Emily :
jamani mm naoteshwa mzazi Wangu ananirogea mtoto Wangu ni mara ya pili sasa
2026-07-30 11:23:46
8
gaty155
BIBI YA TAJIRI 🌸❤️ :
Me pia namkaa nasali san tok taleh 27/7/2026 mpak leo hii 30/7/2026 nasali san mpaka najiulizaa kwann
2026-07-30 01:44:15
16
christina_mwambalaswa
Blessed Girl 🏹 :
jana na leo nimechoka sana , najisikia kuimba nyimbo za kanisanni zimenikaa
2026-07-30 07:40:55
5
being_kaysamira
being_samira :
nimeota ndoto mbaya sijui itakuaje
2026-07-29 21:51:42
6
user7183663398480
lovely boke :
me jicho langu linacheza muda ote siku tatu
2026-07-30 18:19:01
5
hilda.erick
Hilda Erick :
Ndio maana nimeamka najikuta nasali tu kwanzia juzi
2026-07-29 19:45:22
26
user3883536077767
grape ♥️♥️ :
Hii inshu ya kufanya ibada ghafla tupowengi
2026-07-30 11:58:39
13
elizabethawoury
Anyango luxury Cake's :
mm leo ,siko sawa kabisa na kichwa kinaniuma sana ,full moon ad kuisha nirejeshewe kila kichopotea na hii hal iniishe ya kuumwa
2026-07-29 20:16:33
8
shuunahomarry
✨Superb_shuunah🦋 :
jmn Mimi meota nimepata mtoto msichana mrembo mashaAllahh na Ninamnyonysha sjui ata imekaeje
2026-09-27 18:57:37
1
delaquesta128_
....lady cutie.... 🥰 :
toka juz naota ndoto mbaya na sizikimbuki🥹
2026-09-26 17:19:48
3
parismhanga
anipha omani :
mimi nimeota ndoto nipo na watu wazima yani wabibi wabibi
2026-09-25 15:37:37
0
nanah__gracious
GRACIOUS.P.❤️ :
Leo nimeshindaaaa naumwaa snaaa kichwaaa mwiliii unaumaaa nahs haliiii ya homaaa afu nipo period aseee mchnaaa nimeshndaaa nimelala nilijua nakufaaa nmetakaaa kuntumiaaa sms mtu tulie achana Ila naandkaaa sms nafuta naandikaaa nafut 😔🙌
2026-09-26 17:02:50
0
mivantrendscollection
Mivan Trends collection :
ooh ndo maana nina mda siombi kabisaa lakin toka juzi asbh nikawanajihis kuomba tu ila jana nimeshinda sina raha nikulia tu,usiku nilipata nguvu sana nakuomba niliomba nililia sana ila leo nimeamka niko na furaha mnoo
2026-09-26 17:38:20
2
god.happynes
god happynes :
wew dada mungu akupe maisha marefu
2026-07-30 14:47:29
4
sifamwikali
sifah :
nimekuwa rejected harshly on this day am okay but am not okay
2026-07-30 10:41:18
3
To see more videos from user @drmtongori, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About