@mabiwa.com: 🥑 SHAMBA LA PARACHICHI LINAUZWA – HAVANGA, MPAKANI NA IDUNDA 🥑 Mabiwa Company linakuletea fursa ya kipekee ya kuwekeza kwenye shamba lenye mazingira mazuri kwa kilimo cha parachichi. 📍 Eneo: Havanga, mpakani na Idunda 📏 Umbali: Takribani kilomita 45 kutoka Njombe Mjini Maelezo ya Shamba: ✅ Jumla ya ukubwa: Ekari 10 ✅ Shamba tayari limechumwa parachichi ✅ Miundombinu ya maji ipo ndani ya shamba ✅ Makazi yapo ndani ya shamba ✅ Linafaa kuendelea na kilimo cha parachichi pamoja na mazao mengine yanayostawi katika eneo hilo. 💰 Bei: TZS 6,500,000 kwa ekari 📋 Malipo ya ofisi: Asilimia 10 ya thamani ya mauzo. Hii ni fursa nzuri kwa mwekezaji anayehitaji shamba lililo tayari kwa uzalishaji na lenye miundombinu muhimu. 📞 Wasiliana nasi leo: Mabiwa Company ☎️ 0746 190 303 (Simu na WhatsApp) Mabiwa Company – Tunakuunganisha na fursa bora za mashamba na viwanja. #ShambaLinauzwa #Parachichi #Havanga #Idunda #Njombe

Mabiwa Company
Mabiwa Company
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 29 July 2026 19:37:19 GMT
8097
206
5
17

Music

Download

Comments

user1583838114811
Nazareth electronic :
eneo lako lipo ukanda wabarafu bro
2026-08-15 10:34:53
1
thegusto8
Gustavo :
sas uwo mziki wa nn mpk husikiki
2026-07-30 18:06:46
2
kilemile50
Kilemile :
kwann unauza wakati imeanza kukulipa?
2026-08-14 18:15:40
0
peter.songi
pillo :
kama unauza mziki wa Nini na husikiki au maonyesho ya shamba lako zuri sana (toa mziki usikike )
2026-08-14 09:18:01
0
user1310361702931
heroshyma :
🥰🥰🥰
2026-07-30 19:36:33
1
To see more videos from user @mabiwa.com, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About