IPHONE 17 PROMAX haina DYNAMIC ISLAND 😂😂😂 au hii customized 😂😂
2026-07-30 22:04:29
8
𝓘𝓽𝓼𝓐𝓰𝓻𝓮𝔂 🦅 :
ni yenyewe jamani nimeshaicheki 😅
2026-07-30 12:00:46
28
Renee Steph❤️ :
Au me ninayetumia 17 ni mshamba mbona kama naona kitu cha kawaida sana kwangu😂😂 sim yenyewe nshaichoka
2026-07-30 04:32:48
26
elle_finds.tz :
iPhone haina vimkeka huko juu kwenye camera bhn
2026-07-31 09:53:57
8
__.mahyyyy :
Nashindwa kuelewa 😂🙌🏾
2026-07-31 03:46:55
5
katarina# :
mmmh umepita chap kwenye setting 😅😅😅
2026-07-30 05:34:04
8
_godfrey :
Iphone yake in OG jamani kama huna huna tu acheni Wivu na ina warranty mpk november huko Apple Warranty yenyewe kabisaaaaa
2026-07-30 06:11:54
18
PABLO :
Iphone gani ina mkeka mkeka kwenye hizo camera,
2026-07-30 16:18:47
7
layma🦋 :
Nmewasaidia jmn nmeend googl na chatgpt tunyamaze
2026-07-30 04:04:20
8
Yunnie_empirestore :
Kwan mie ndo sielew watu wa TikTok au Tanzania ni moja Kwan iPhone 17 ni nini??🥺🥺🥺🥺eeeeh
2026-07-30 04:52:21
6
Mamu ❤️ :
Rudii setting tena baby 😂umepita fasta
2026-07-30 05:34:18
5
Official Reynah madini 💎💎 :
2026-07-30 12:22:15
1
MR CHOBBY 💸💥🎮 :
2026-07-30 13:09:31
0
Cauthal ♡ :
Mimi watu hunichekesha, Sawa simu ni fake , unamaliza energy hadi ChatGPT kuuliza, unauliza hukuuu.. km ni fake au si fake .. what’s the point .. kuna angle ukituchunguza sana sisi binadamu utagundua furaha ya mtu ni shida sana kwa wengine ( from every perspective) 😁
2026-07-31 02:36:44
7
𝓛𝓲𝓽𝓽𝓵𝓮 𝓐𝓷𝓰𝓮𝓵🌸🕊️🧕 :
Dah ngoja nimnunulie na mdogowangu iPhone maana anateseka @its baliqs @aim lucita wana mpa stress😂😂😂
2026-07-29 20:19:50
12
Crown Essence Salon🌸 :
Warranty inakuwa ni kuanzia siku ulowasha cm ko imeanza kutumika mwez wa 11/2025 au umeazima ya Mtu uonyeshe ndani!?
2026-07-31 22:46:00
1
‼️ENSEÑAR☘🕋☪️ :
Emu tuache tupumzike kwanza lucita
2026-07-30 15:10:55
2
queentrend0 :
Hiyo ya mrs tinizo mapenzi
2026-07-30 03:06:34
2
Miss gee🥰🥰 :
Ay suruhisho imetoka meta kasema iphone kumi na saba aija toka😂😂😂
2026-07-30 17:07:36
3
Mr.Kimbe :
2026-07-29 22:00:57
2
Man_creative_hub :
😳
2026-07-30 16:47:51
3
leeluxe24 :
Ngoja na mimi nikaulize narudi 😂
2026-07-30 09:01:11
2
To see more videos from user @balqisbabe, please go to the Tikwm
homepage.