@mirrsviva: Kamdomo part2 #nokulia #nokutiahuruma #nokutoka

Simulizi za#mcviva
Simulizi za#mcviva
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 29 July 2026 19:54:38 GMT
88575
5691
243
125

Music

Download

Comments

mwajuli6
mwanaishajuma461 :
mbn kam unanichamba mimi kamdomo😂😂
2026-09-17 20:11:01
0
user6924617154334
Farhiya :
yaani mimi nilienda dar kabisa mpaka mume wangu akaoa 7 ikaisha halafu nikarudi kimya kimya yaani nilivyorudi Ile ndoa ilidunu kwa miezi mitatu tu ikaisha maana nilimdharau mpaka akawa akienda zamu namsindikiza mamae
2026-07-29 20:28:37
81
mariaduncan79
mariaduncan79 :
Dirty messages oye😂
2026-07-29 21:22:56
7
rebeccaluhende
Mrs 🥀🌹D🔐🦚✨ :
da viva ungekua mchungaji ungeokoa wengi😁♥️♥️nakupenda sana
2026-07-31 10:41:09
19
habibaluciani
habibaluciani :
viva nitafute leo hii kimenuka uku viva niache machozi yamegoma kutoka mchepuko ana mpost mume wangu wandowa viva nina mengi
2026-08-01 12:12:14
13
verdelton
Victoria🧚 :
hasira za kubeba mabegi jamani,aaaaah mie sitaki😂
2026-07-29 20:00:33
13
arusha.maternity.s
Arusha Maternity Store :
Awali ni awali 🤣 na hamna Awali mbovu 🤣VIVAAAAA😆😆😆😆👌🏽👌🏽
2026-07-30 11:44:07
22
raymkwnd1820
Ray2098 :
nikiolew utakuw kungwi wang ,,,Allah s.w anemeenesh🥰
2026-07-30 10:02:42
15
user9326860134500
Anne :
Kumbe ngoja nikaoge🤸🏽‍♂️😅
2026-07-30 08:43:25
6
szy795
Suzy :
jmn Dad angu mbn naomba yako hyo hvyoo
2026-07-29 20:04:43
2
user6638561774718
usersalmaronoh :
🥰
2026-08-01 11:20:47
1
laylah_waakuwa
Rima😍🔊 :
kelele kwa ma halidi weweeeeeeeee baba halidi oye🥰🥰
2026-07-30 08:40:21
8
esthercaily
E 💫 :
Adi niolewe ntakua nmejifunza mengi🥰
2026-07-31 16:45:44
1
lincyjane
lincyjane :
ningekujua zamani nisingekuwa na kurupuka wala kugombana kwa mambo madogomadogo
2026-07-30 08:10:55
12
mama.adamu16
Mama Adamu :
🤣🤣🤣 hamnaga mkate mgumu mbele ya chai me napenda mambo hayoo😁
2026-07-29 20:28:51
6
joliekamakwa
ma jolie :
da Toyota nakupenda sana toka🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
2026-08-12 13:22:05
1
ashakisheen
ashakisheen :
da Diva nomekupenda bure.umenipa ujasiri sana sibanduki mpka tunazeeka
2026-08-14 17:42:59
1
mayohomedecors
MAYO HOME DECOR :
Kamdomo hakatakiwi somo la leo📌
2026-07-30 12:58:31
4
hawa.misimbo
Hawa Misimbo :
da viva embu tuongee unichambee maana kamdomo kataniponza😂
2026-07-31 13:54:48
3
theblack_cat83
Kindness Raphael :
vile napenda kukusikiliza
2026-07-31 14:11:45
2
abeliwbkcqc
Suzie💕 :
Apo kwenye shever da viva umenikosha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌
2026-07-31 08:37:07
3
mage.b2
magret💋💋 :
kwer dada ubarikiwe unaongeaga ponit
2026-07-29 20:10:20
4
anna.mokiwa7
anna mokiwa :
atuongea yapat miez miwil nasiku nyingn alud hm anaenda na mtu wa nje tupo mbion kuachan na hy mchepuk Ana ujauzit ila jp ajanioa ila nina miak 5 huu unaenda 6
2026-08-29 07:24:54
1
angel_zahra4
𝒜𝓃𝑔𝑒𝓁🥰🌸 🎀 :
Yaan kuna vitu nimejifunza niliongea na ww ipo siku ntakuja hata nikununulie soda 😅🥤
2026-07-29 20:06:08
5
aberthyberjohs
aberthyberjohs💕💕 :
hatimae 😁 ..nmeona tu nguo mie ewaaah😅
2026-07-29 20:03:14
1
To see more videos from user @mirrsviva, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About